Napangisha vyumba/nyumba

Napangisha vyumba/nyumba

neema prosper

Senior Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
146
Reaction score
154
Nyumba/Vyumba VIPO mita 30 toka main road. Mandela road,karibu na external. Chumba kikubwa,sebule kubwa,jiko na choo vipo ndani,tiles,feni, maji 24 hrs. LUKU YA KWAKO PEKE YAKO. Bei LAKI TATU kwa mwezi. Wanachuo mkiwa sita kila mmoja akalipa elfu 50 nitawawekea vitanda na magodoro. SMS 0753-177788. You are all welcome.
 
Huu ndio ujasirimali tunaotaka, keep it up
 
Duh mkuu chumba nacho unataka picha??!! no ya simu si kaweka au ushapga valuu valuu man! I LOVE IS MY COUNTRY

watu wengi huomba picha, na wengine pia huweka. Kosa langu silioni.

Dunia ya leo ni kujali muda, picha inakusaidia kufanya maamuzi mapema. Imagine na mvua hii usafiri wa shida kwenda kuangalia tu nyumba.
usinijaji kihivyo, nipe uhuru wa kutoa mawazo na kufanya uamuzi
 
Chumba na sebule tu sipati kwa 150,000?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom