Napangisha nyumba au kuuza.

Napangisha nyumba au kuuza.

nasta

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Nyumba mpya kubwa za kisasa napangisha au kuuza. zipo Tabata na zinafance vyumba vinne siting room, dining room, kitchen n.k , kwa maelezo zaidi kwa wale wanaohitaji wasiliana na...0717415868.
 
Nakupongeza kwa jitihada zako za kuanzisha real estate. Ila naona kuna kasoro ambazo nikupe ushauri uzifanyie kazi na utapata mafanikio zaidi katika kazi yako kwani makampuni makubwa ya real estate yalianza kwa kiwango chako hadi kufikia kulimiki vikwangua anga majijini.
  • Sajili kampuni yako serikalini
  • Uwe na ofisi yako
  • Andaa ad
  • Weka picha ya nyumba unazouza na gharama zake
  • Weka picha ya nyuma unazopangisha na gharama za
  • Onyesha advantaje ya nyuma unazopangisha kwa mpangaji, kama ubora, usafiri, umeme, usalama, maji, majirani, shule, nyumba za kuabudia, sehemu za burudani/mapumziko, restaurant, nk.
Ukiweka taratibu hizo utapata wapangaji wazuri, na pengine kuikuza zaidi bishara yako kwa vile watu siku hizi wanachotaka kwanza ukweli na usalama wao katika biashara yako.
 
Hallo, nashukuru kwa ushauri wako na kwa yote ulioyasema. isipokuwa kuuza kwa hizi nyumba si kwamba kuwa nimeanzisha au nataka kuanzisha kampuni yangu ya biashara za nyumba. hapana. wala si hivyo kama unavyofikiria wewe. mimi kuamua kuuza hizi nyumba ni kwa matatizo yangu mwenyewe binafsi. na wala si kwa biashara ya kuendelea. nakama isingekuwa matatizo basi nisingeamua kuziuza hizi nyumba. na kuhusu maeneo yalivyo. Restaurant, shule au majirani kama jinsi ulivyotoa ushauri kwa mtazamo wako.kuhusu mazingira yalivyo hayamzuwii mtu kitu kununua ikiwa mtu kama kitu kweli amekipenda. kama ni shule, restaurant .nk .zipo kila sehemu hapa mjini. kuhusu picha za nyumba sikuweka na ndio maana nikaweka namba za simu ikiwa kweli unahitaji na upo serious basi unaruhusiwa kupiga na kuja kuziona hizo nyumba zilivyo na mazingira pia yalivyo. na ikiwa utapenda au kutopenda ni uamuzi wako ujue ufanye nini.
Tnx:rockon:
 
tuambie unapangisha kwa sh. ngapi acha kutuchosha mkuu
 
Rais Mwai Kibaki wa Kenya majuzi kasema watanzania tuembee kujifunza. Hilo ndilo unaloendeleza hapa. Hata kama ni nyuma moja au chumba, piga picha wateja waone, maongezi yako kwa simu haitawezesha watu kuona nyumba ilivyo. Ukiweka kitu hadharani kitaleta mvuto kwa wengi kuliko kufanya fumbo ni kudumaza biashara yako. Ninachokuambia ungefanya ungeona watu wanavyochangamkia mada yake.
 
DSC01820.JPG DSC01829.JPG DSC01714.JPG DSC01773.JPG DSC01774.JPG DSC01776.JPG
 
kinachokuchekesha ni nini? na ninini cha ajabu umeona? Unamaana gani nitafute watu wa kucheza nao? jaribu kuwa mstaarabu hata kama ikiwa ni tabia yako.
 
Hapa hakuna dalali katika nyumba hii, mimi ndio mwenye nyumba hii na mimi ndio muhusika mkuu. huyo jamaaa Robson mulabwa ni mpumbavu wa akili, wenzake wanasoma wapate madiploma na kupata mafanikio daadae. yeye amesoma kufuta ujinga na ndicho kinachomfanya upeo wake wa akili kuwa mdogo. baada la kuweka tangazo langu hapo la nyumba. nilikuwa sijaweka picha za nyumba. baadhi ya watu wakaniomba niweke picha za nyumba ili waweze kuziona nyumba hiyo jinsi ilivyo. na mimi nikaheshimu mahitaji yao. nimeweka picha za nyumba. huyo mpumbavu hapo juu anajiita Robson mulabwa anaanza kuandika kwanini usitafute watu wa kucheza nao. ikiwa kitu haujakipenda au kukihitaji sio lazima uzungumze watu wakuone kama humo humu. kwani si mnazo website zenu za kishoga. na sio mnakuja humu kwa wanaume.
 
zimetulia sana ngoja nikazione kwa macho kisha nitaku pm
 
Hallo, nashukuru kwa ushauri wako na kwa yote ulioyasema. isipokuwa kuuza kwa hizi nyumba si kwamba kuwa nimeanzisha au nataka kuanzisha kampuni yangu ya biashara za nyumba. hapana. wala si hivyo kama unavyofikiria wewe. mimi kuamua kuuza hizi nyumba ni kwa matatizo yangu mwenyewe binafsi. na wala si kwa biashara ya kuendelea. nakama isingekuwa matatizo basi nisingeamua kuziuza hizi nyumba. na kuhusu maeneo yalivyo. Restaurant, shule au majirani kama jinsi ulivyotoa ushauri kwa mtazamo wako.kuhusu mazingira yalivyo hayamzuwii mtu kitu kununua ikiwa mtu kama kitu kweli amekipenda. kama ni shule, restaurant .nk .zipo kila sehemu hapa mjini. kuhusu picha za nyumba sikuweka na ndio maana nikaweka namba za simu ikiwa kweli unahitaji na upo serious basi unaruhusiwa kupiga na kuja kuziona hizo nyumba zilivyo na mazingira pia yalivyo. na ikiwa utapenda au kutopenda ni uamuzi wako ujue ufanye nini.
Tnx:rockon:

mkuu weka bei basi ili tujue kama tuna afford sio tunakupigia tu kuuliza bei,huoni kama itakuwa ni ussumbufu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom