Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
But it sounds sweetShaycas, unatuabisha! Bado una yale ya miaka ya 47 ya kuwatafutia mabinti waume wa kuwaoa?! Kwa nini huyo binti yako asitangaze mwenyewe kuwa anatafuta mwanaume wa kuoana naye na akaweka hapa sifa anazotaka huyo mume mtarajiwa awe nazo?
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
Mimi nipo tayari!!!!!!Sio kwamba ni mbaya kama baadhi mnavyofikiri.wanaume wengi wamejitokeza lakini hawana hizo sifa nilizotaja.nimeongea na shangazi yake,binti hajaguswa.Simuuzi bali namuozesha wala sihitaji chochote zaidi ya kufuata taratibu.
Mwisho ningependa memba wa jf awe mkwe wangu kama ana sifa na vigezo.
Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
Na mwenye kujiexpress nae naona ruksa maana hujaweka pingamizi.
Ndio maana yake! Lakini we si ulishastaafu au ndio yale ya jasiri haachi asili?
Plz weka japo passport size photo! Huhitaji kupiga debe kuwa ni mrembo... Thanks
Ahahahahahahaaaaaaah vigezo ninavyo mkuu!!!!.....ISSUE SIO KUWA TAYARI JE SIFA NA VIGEZO UNAVYO?
Kama vp pm
unadhani ni rahisi namna hiyo, mpwa nguli alimshikia bango atubu sasa kila akipita kwenye makaro akili haitulii kamua kurudi nyuma.
.....Mkubwa,picha yake ipo ila sifahamu vizuri namna ya kuiweka hapa.si unajua mambo ya IT lakini pia nisingependa kuiweka hapa maana kuna wataalamu wa ku-edit na kuifanya kituko.[/QUOTE]
Hapo kwenye nyekundu sijakuelewa naona unanitaja wakati wala sina mpango na huyo binti yako
Teheteheheeee we kweli kituko!.....Mkubwa,picha yake ipo ila sifahamu vizuri namna ya kuiweka hapa.si unajua mambo ya IT lakini pia nisingependa kuiweka hapa maana kuna wataalamu wa ku-edit na kuifanya kituko.[/QUOTE]