Ule wimbo wa izzo bus wa ridh 1,leo namwimbia mwanaAsha,naanza km hv Corus;
Naongea na mwanaAsha mwanaAsha ripot hii usipuuze
Verse;
mwambie mshua wako akisaidie kusaka credt,afute matokeo yte ya nch nzma il yasahhshwe upya.
Kitaa umekinukisha mwanaasha !
Mwambie mshua.
Aache ubabe.
Ili walimu wasirudie kumkomoa.
aaaah mwanaasha.
Report hizi zifikishe kwa vasco da gama.
jioni hii akiwapa stori za mazishi ya whitney houston.