Naona tumehalalisha hili..

Naona tumehalalisha hili..

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,747
Reaction score
86,380
Madaraka sahivi yamekuwa yakugangamala/kung'ang'ania..
Sio tena kupambana na changamoto zinazowakabili watu bali kiongozi anapambana na watu ili yeye aendelee kukaa hapo!.

Imefika hatua wanafikiri sisi ndio matatizo yao na Wala sio matatizo yanayotukabili ndio matatizo wanayotakiwa wayatatue!.
Tukisema wanadhani tunawasema kwa ubaya hivyo wanajibu kwa vijembe,michambo na misemo!.

Ukiwa na viongozi wenye mindset ya hivi jua umelamba pasipo lambika!, uongozi sio kariba ya kulipana upatu ya kwamba ulinisaidia sasa nakusaidia,hata ukiharibu nakubadili upande ila mnofu ni uleule!.
Hii ni ngazi ya taifa vitu vinatakiwa vitendeke kwa umakini na bila kulambanalambana!,fadhira na mazira msilipane kwenye vyeo ambavyo ni vyakiserikali hiyo ni mali ya wananchi!.

Kama hamtakuwa serious ipo siku tutakuwa sisi serious ndipo mbichi na mbivu zitakapoliwa bila chumvi.

Niwatakie jumapili angavu,pevu na himilivu wanywa pombe msiendeshe vyombo vya usafiri take care.
 
Mwenye shibe hawezi kuangaika na matatizo ya mwenye njaaa..
 
Back
Top Bottom