Naona tumegawanyika kidini

Mleta mada ni sehemu ya wapumbavu wa samia mnaotumwa kupandikiza mbegu ya udini.

Mwambieni huyo mshenzi wenu samia. Watanganyika hatuna mgawanyiko wa dini na ameshafeli kutupandikizia udini.

Tatizo letu ni yeye na ccm yake wala sio duni
 
Mbona kina Mwamposa kila siku kusifia hata walutheri wao kila siku majukwaa ya kisiasa kumsifia Mama ila sijaona mkisema ni wanasiasa!!

Magufuli walimwandikia nyaraka zaidi ya 10 wakimkosoa mambo ya demokrasia na nyingine pia wakimsifia. Sasa mbona hamkusema ni udini?
 
Najiuliza hao TISS na JWTZ wanaruhusu vipi haya? Yaani wamekubali nchi ipasuke kidini hata makanisa na misikiti ichomwe ili tu kumlinda Mama??
 
Kwa hiyo ulitaka waitii amri ya shetani ya kuwaweka majeruhi mochwari?
 
Najiuliza hao TISS na JWTZ wanaruhusu vipi haya? Yaani wamekubali nchi ipasuke kidini hata makanisa na misikiti ichomwe ili tu kumlinda Mama??
Mkuu wakuu wote wa vyombo vya dola ni wafaidika wa utawala huu, na inapotokea kiongozi hakubaliki hivi, wanapomlinda ndio wanavyofaidika binafsi kwa rushwa, maana ili huyo kiongozi aendelee kukaa madarakani ni lazima wao wamlinde. Na hapo ndio wanapovuna mabilioni.
 
Acha kulia lia...
Chagua 9d utoke au utulie ndani!

Yeye alisema hakuna kiongozi yeyote wa kidini mwenye uwezo wa ku override the government
 
Reactions: Tui
Hakuna nyaraka zaidi ya kumi dhidi ya magufuli,kuna waraka mmoja tu wa pasaka 2018 licha ya viroba vya maiti kuokotwa kila uchao, MKIRU watu kuuawa,watu kuchukuliwa pesa benki
Tena huo waraka wa pasaka una lugha laini ajabu
 
Reactions: Tui
Same story na mimi Baba na mama mmoja muislamu mwingine mkristo na nililelewa kwa upande wa wakristo na mimi ni mkristo but mzazi wangu mmoja ni muislamu
 
Hakuna nyaraka zaidi ya kumi dhidi ya magufuli,kuna waraka mmoja tu wa pasaka 2018 licha ya viroba vya maiti kuokotwa kila uchao, MKIRU watu kuuawa,watu kuchukuliwa pesa benki
Tena huo waraka wa pasaka una lugha laini ajabu
Acha utoto wewe, walitoa nyaraka zaid ya 10 au hujui hata majimbo yalikuwa yanatoa matamko hadi Askofu Niwemugizi akaitwa sio raia!! As early as 2017 alafu unaleta ngonjera hapa.

Serikali ikikosolewa ni sababu ya utendaji wake sio dini au jinsia. Kama issue ni dini kwani katoliki si wangemtetea JPM kwenye kila jambo?
 
HILI LA UDINI LILISHA FELI MUDA TU. WANA FORCE NOW.
 
Weka hapa hizo nyaraka kumi za TEC wakati wa magu,acha kubwabwaja
 
Reactions: Tui
Nakuongezea,hapo kwa jpm waraka mmoja tu wa pasaka mengine ndiyo kuropoka akina niwemugizi,ila angalia kwa viongozi waislam
 

Attachments

  • Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    132.6 KB · Views: 7
Ndiyo vizuri mbwa nyinyi,mmejaa chuki, yaani ushungi wake pale ikulu unawauma sana,muda mrefu tu mnamuita bi ushungi,mara mzanzibar ila mnajua kinachowakera
Upo bize na kulima au kulima JF
 
Huyu akiwa kijiwe cha kahawa pale shule ya Uhuru, alikuwaga anahapa kwa jina la Allah kabisa kwamba hakuna mtu atatoka siku ya oct29 na hoja yake ilikuwa waTanzania ni waoga na wanafki huku akirejea baadhi ya maandamano kama #UKUTA, yaliyoratibiwa na Chadema yakafeli.So, nahisi ni hasira ya kile kilichotokea na hakutegemea kama watu kweli wataingia barabarani na yeye alikuwa anafanya vihapo kama Manara kwamba hamna wakutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…