kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,150
- 16,139
Ok kama ni watuhumiwa huwa hauoni watu wanaanza kureact kuwa hawa watu wako innocent. Tatizo wako wapingaji tu na wakuunga mkono tu. Hatuna uwezo wakulifikiria jambo na kulikubali au kulikataa kimantik. Angalia vyama vya upinzani wao ni kupinga tuu, angalia waunga juhudi wao ni kusifu tuuuHao ni watuhumiwa, mtuhumiwa yoyote ni innocent mpaka mahakama ithibitishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtetea mtuhumiwa kwani ni kosa?Ok km ni watuhumiwa huwa hauoni watu wanaanza kureact kuwa hawa watu wako innocent. Tatzo wako wapingaji tu na wakuunga mkono tu. Hatunauwezo wakulifikiria jambo na kulikubali au kulikataa kimantik. Angalia vyama vya upinzani wao ni kupinga tuu, angalia waunga juhudi wao ni kusifu tuuu
Kiongozi gani kaboronga halafu katetewa!Ni kweli kabis mtoa mada. Wengine ni viongozi wenye nyadhifa fulani nchi hii lakin wakiboronga. Kuna tem ya kutetea na kutukuza makosa yake.
Hii tabia sio njema
Kwani kosa la kuicheka picha ni sheria ipi imevunjwa?
Kumbe jamaa alitakiwa kulia baada ya kuiona ile picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana hii nchi imekuwa ya maamuzi ya ajabu, angalia hata kesi za wahujumu uchumi waliokuwa rumande yaaan mtu anatokea tu anasema wanaonewa mara sijui nn hakuna jema Wala baya kwake.
mtuhumiwa namba ni dereva aliyetetewa na muhanga na ufipa wote!Mada murua kabisa. Nikikumbuka shambulio la Lisu na kisha mkajitokeza kumtetea mtuhumiwa, acha tu.
Picha si picha ndio mnawatia maji wakafanya makosa wakishughulikiwa mnalia!sasa....picha ikichekwa...ndio inamaana kuwa rais amechekwa...acheni ujinga wa kitoto bwana...picha ni picha na Rais ni Rais tu
mtuhumiwa namba ni dereva aliyetetewa na muhanga na ufipa wote!
Wameonewa na nani?!Mkuu twende pamoja hapo pa kuonewa. Rugemalila na Seth wako ndani mpaka leo, je watu walioshirikiana nao toka ccm/ serikalini mbona hawapo ndani kama sio uonevu?
Anatakiwa aje dereva ajieleze hatutaki ujanja ujanja!Mtuhumiwa anatajwa na Lissu mara zote, dereva ni shahidi namba 2, shahidi namba moja ni Lisu mwenyewe. Huenda umeanzisha usiyojua makali yake.
Picha si picha ndio mnawatia maji wakafanya makosa wakishughulikiwa mnalia!
Wameonewa na nani?!