itamungu
New Member
- Apr 23, 2015
- 4
- 0
Ni wazi chama tawala ccm kinaona taifa linaenda mrama ila tia tia maji tu na kama ni mgonjwa anapumulia mpira.tazama unemployment rate Kwa wazawa ni karibu 63%,money value neo HVO Tena air tel ya mia tano dakika 9 na mb10,deni LA taifa neo HVO tena,nguvu ya less yetu inashuka kama mhumaa uishao unapowaka.Ufisadi unaofanywa na ccm Kwa watanzania hasa cc vijana tusio na ajira ni kheri watupige risasi kuliko maisha haya.Wanasema tujiajiri wakati watoto wao wanaajiriwa Tena wizara nyeti.Maisha kwetu magumu huku engine wanatumia ml10 Kwa mboga bora asingesema kuliko kubeza pesa zetu za kodi.Kwa Barabara walizojenga na kujisifia mi naona ni vichochoro na ndo sababu ajali haziishi ukichanganya na utawala wa giza kila wizara imeoza mh ccm na watoto wao cc na shida zetu.SIJUTI KUZALIwA TANZANIA NAJUTIA KUONGOZWA NA CCM