Naona "Rank" imerudi ileile ya awali

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Kama wiki tatu hivi zilizopita kulikuwa na mabadiliko ya ranks za hapa JF,naona leo zimerudishwa zile za awali,mliolalamika kama mimi baada ya rank ku drop sasa kiroho kwaatu!
 
Rank zinasaidia nini, kupigiwa mizinga siku ya maziko?
 
Wabongo kwa sifa za kijinga, tupo mbele sana... Hiyo 'RANK' inakusaidia nini?
Una akili za ki-mwanaasha za kusema kuongezeka kwa foleni mjini ni maisha bora...
 
Wabongo kwa sifa za kijinga, tupo mbele sana... Hiyo 'RANK' inakusaidia nini?
Una akili za ki-mwanaasha za kusema kuongezeka kwa foleni mjini ni maisha bora...

Sasa Mkuu "wabongo" wanaingiaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…