Naona Kabisa Tff wametukosesha Fainali Za Afcon

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,278
1,553
TFF wametukosesha hizi fainali wallahi. Game ya kwanza ya Lesotho ilichezwa kana kwamba ni game ya kirafiki baina ya Yanga na Namungo Fc. Majority were not aware as well ikachezewa Chamanzi huko. National team unaipelekaje Chamanzi?
.......
As a result game ikakosa msisimko na matokeo yake tukatoa sare huku tukicheza hovyo kabisa, laiti tungewafunga Lesotho siku hiyo bs leo tungechezesha hata kikosi cha vijana tu kukamilisha ratiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa! Cku zote wanasiasa c WAKUWAAMINI! Kwani hii hamasa ilitakiwa ifanyike toka mechi za kwanza! Lkn Leo wanakuja na hamasa zao (Ambazo kama Lesotho itashinda) HAZITAKUWA na MAANA YOYOTE! Hata kama tukishinda 100 -1! Mashindano yoyote kila mtu anahakikisha anashinda nyumbani na ugenini kutafuta sare! Hawa wanasiasa waendelee na siasa zao huko watatuharibia mpira wetu! Na wasije wakatupa kesi za UCHOCHEZI bure maana huwa hawapendi kukosolewa hao! Kwani wao ndio wanajua kila kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja uchaguzi ujao wa tff twende na Ally Mayay Tembele na yule mchezaji mwenzake wa zamani wa Simba kwa kuirudisha ile kampeni yao ya "Turudishieni Mpira wetu" Huyu Karia amekaa kiccm zaidi. Hajisikii hata aibu na wala hajali ligi mpaka inaisha kukosa mdhamini mkuu! Yuko bize kuwashughulikia wapinzani wake tu.
 
Stars atashinda na kufuzu kucheza Afcon mwaka huu! Hilo halina ubishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom