Naona ITV inafufuka upya

Ebu ngoja nisubiri wengine wachangie kwanza, labda nitaelewa
 
Promo kazini...Habari za kimataifa yenyewe wanarusha za hapa Afrika mashariki tu....Hamna habari za Nje ya Bara la Afrika kama Ulaya, marekani na Asia...hapo tu wananiboa sana
Haya mabadiko ya kutotoa habari za kimataifa kweli ni mapungufu kwao. Tunahitji kujua dunia inaendaje, otherwise wako sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…