paschal Martin
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 401
- 385
Vita vya siku 6 vya 1967 je israel walivyopigana na mataifa mengi ya kiarabu akayapiga kwa siku 6 je alipigana na kundi dogo mbona unaongea utopolo sana soma historia ya israel toka mwaka 1948 mpaka sasa ndio uje ucommetNi kuwakumbusha tu Israel anapambana na kikundi kidogo sana cha watu wasiojiweza kabisa , si jambo la kushangiria shangilieni pale tu atapojichanganya kwa taifa kama Syria , Lebanon alafu hakuna nchi kuingilia wala umoja wa mataifa kuingilia kati uone kitachotokea dunia itasimama kwa muda , mara kibao tumeona chokochoko za Hizbullah kwa Israel lakini husikii akijibu mashambulizi kwani anajua mziki wake lakini huyu bingwa anawaonea watu wahajiwezi hata alafu naona watu mkiwatukuza sana sasa siku ajichanganye aingie huko tuone mziki wake, Iran wala hasiwafikirie maana ndio taifa teule litakuwa mwisho wake hapa Duniani. Acheni kuitukuza sana Israel haiko ivyo mnataka iwe naamini hata akisimama tu Tanzania full scale war hakuna kuingilia anakalishwa mapema tu Israel is nothing without US na washirika wake
Torat, zabur, injili( old) na mitume wake wanawaamini ila new kilikuja baada ya Yesu kuondoka ni watu waliokuja kuandika kuwa walishuhudia hili au lile hicho hakiaminiki sababu kinapinga mambo mengi na Old. Quraan ikaja kuhitimisha yote ya nyuma na kuongelea mitume wote.Wanaamini vitabu vyote na mitume wote kasoro new testament.
Wakati wapalestina wanarusha maroketi israel na wakauawa Waisraeli 10 mbona hamkowaombea zaidi kushangiliaMda huu pale Gaza Israel wamepiga mabomu MEDIA BUILDING kubwa iliyopo gaza imeshuka yote.Maafa ni makubwa sana tuwaombee hawa Wapalestina aisee.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
1967 kasome wewe utajuwa ile ilikuwa ni mipango ya nchi kubwa duniani wakati huo US na British.Vita vya siku 6 vya 1967 je israel walivyopigana na mataifa mengi ya kiarabu akayapiga kwa siku 6 je alipigana na kundi dogo mbona unaongea utopolo sana soma historia ya israel toka mwaka 1948 mpaka sasa ndio uje ucommet
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Old Testament iliyoko kwenye Biblia imetoka kwa Mungu?Wanaamini vitabu vyote na mitume wote kasoro new testament.
Hamas ni kundi dogo ila limeipa israel kipigo kikali sasa israel anaharibu majengo na kuuwa watu tu udhaifu wa israel umeonekana kwenye vita hii mpaka sasa wanasita kufanya ground battle na hamas
Chakuongezea mashambulizi ya israel yamewaua viongozi 33 wa hammas na magaidi wengi wa hammas wamefukiwa wazima wazima huko mapangoni kwaoAmka kutoka usingizini, Hamas wenyewe wanakiri baadhi ya viongozi wao wameuawa. Hamas wamejificha kwenye mahandaki na kati kati ya raia hivyo kuwapata lazima baadhi ya madhara kutokea. Hao majeshi ilikuwa kuwahadaa waingie kwenye mahandaki ndio maana jana Israel alishambulia maeneo kama 150 ambapo kunakisiwa kuwa na mahandaki. Pia mashambulizi ya anga huanza na vikosi vya ardhini ni kumalizia masalia.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hivi wewe unasoma au unakurupuka tu nimekutajia vitabu vinavyokubaliwa kutoka kwa Mungu na Old testament kimoja wapo. sasa ugumu unatoka wapi kuelewa.Kwa hiyo Old Testament iliyoko kwenye Biblia imetoka kwa Mungu?
Hili swali mbona unalikwepa?
Okay.... So umesema kuwa OLD TESTAMENT IMETOKA KWA MUNGU.Hivi wewe unasoma au unakurupuka tu nimekutajia vitabu vinavyokubaliwa kutoka kwa Mungu na Old testament kimoja wapo. sasa ugumu unatoka wapi kuelewa.
Kitabu ni cha Mungu ila waislamu wanaamini quraan ndio ilikuja kuunganisha yote ya nyuma sasa na ni kitabu cha mwisho na ndio tulitakiwa kukifwata lakini haina maana vitabu vya nyuma vilikuwa sio vya Mungu. Ndio Maana jews wao walimuamini Mussa tu na kitabu chake lakini Yesu hawakumuamini na wamekataa kama ni mtume au muokozi wanasema hakuwa mtume. Waislamu wanaamini Yesu alikuwa mtume lakini Mohamed akaja kuwa mtume wa mwisho. Swali lako la Ijumaa au jumamosi ilikuwa katika injili ikaja kuraan na tukaamrishwa kufuata quraan sio kwamba injili ilikuwa na makosa mafunzo yakaja mapya. Kusema hilo la jumamosi mbona nguruwe imekatazwa katika agano la kale lakini mnakula.Okay.... So umesema kuwa OLD TESTAMENT IMETOKA KWA MUNGU.
Mifano ni mingi, ila nitakupa huu mmoja.
Katika old testament, Mungu alimpa Musa amri 10,na katika Amri ya 4 aliwaagiza watu WASIFANYE KAZI SIKU YA SABATO (Siku ya 7, unaweza pia kuiita Ijumaa ukipenda)
Maagizo haya ambayo wewe unaamini ni ya Mungu, huwa yanafuatwa katika Uislam?
Unajuwa haya mambo ya dini nikufanya unavyoona wewe uko sawa sababu hakuna mwenye kujuwa siri ya Mungu kikubwa sote tunaamini kuna Mungu na kikubwa kuheshimu yoyote mwenye imani tofauti na hasa sisi watanzania Mungu katubariki mimi na marafiki waktristo wengi tena rafiki hasa wa shida na raha hatujawahi kuongelea mambo ya imani na enjoy sikukuu zao na wao wana enjoy, tuishi kwa amani tu kama tulivyozoea.Okay.... So umesema kuwa OLD TESTAMENT IMETOKA KWA MUNGU.
Mifano ni mingi, ila nitakupa huu mmoja.
Katika old testament, Mungu alimpa Musa amri 10,na katika Amri ya 4 aliwaagiza watu WASIFANYE KAZI SIKU YA SABATO (Siku ya 7, unaweza pia kuiita Ijumaa ukipenda)
Maagizo haya ambayo wewe unaamini ni ya Mungu, huwa yanafuatwa katika Uislam?
Kwanza nikusahihishe, unasema Jews wanamuamini Nabii Musa tu,SI KWELI.Kitabu ni cha Mungu ila waislamu wanaamini quraan ndio ilikuja kuunganisha yote ya nyuma sasa na ni kitabu cha mwisho na ndio tulitakiwa kukifwata lakini haina maana vitabu vya nyuma vilikuwa sio vya Mungu. Ndio Maana jews wao walimuamini Mussa tu na kitabu chake lakini Yesu hawakumuamini na wamekataa kama ni mtume au muokozi wanasema hakuwa mtume. Waislamu wanaamini Yesu alikuwa mtume lakini Mohamed akaja kuwa mtume wa mwisho. Swali lako la Ijumaa au jumamosi ilikuwa katika injili ikaja kuraan na tukaamrishwa kufuata quraan sio kwamba injili ilikuwa na makosa mafunzo yakaja mapya. Kusema hilo la jumamosi mbona nguruwe imekatazwa katika agano la kale lakini mnakula.
Mkuu, wala hakuna asiyeheshimu dini ya mwenzake hapa.Unajuwa haya mambo ya dini nikufanya unavyoona wewe uko sawa sababu hakuna mwenye kujuwa siri ya Mungu kikubwa sote tunaamini kuna Mungu na kikubwa kuheshimu yoyote mwenye imani tofauti na hasa sisi watanzania Mungu katubariki mimi na marafiki waktristo wengi tena rafiki hasa wa shida na raha hatujawahi kuongelea mambo ya imani na enjoy sikukuu zao na wao wana enjoy, tuishi kwa amani tu kama tulivyozoea.
Wewe abudu unachotaka hata ukitaka mbuyu abudu tu uko huru maana huwezi kunibadili mimi wala siwezi kukubadili wewe fanya unayoona yanakufaa uko huru.Mkuu, wala hakuna asiyeheshimu dini ya mwenzake hapa.
WEWE JIBU MASWALI NILIYOULIZA.
Mbona hukumalizia jews kuwa Yesu wamemkataa na walishasema Yesu si nabii na Mary alizaa nje ya ndoa tu hao mayahudi.Kwanza nikusahihishe, unasema Jews wanamuamini Nabii Musa tu,SI KWELI.
Jews wanaamini Manabii wote wa "Agano la Kale" kama Daniel, Jeremiah, Obadia,Amos,Hosea, Ezekiel,Joel etc..
Back to the Topic:
HUJAJIBU SWALI LANGU.
Mimi nimekuuliza, JE AGIZO LA KUTOKUFANYA KAZI SIKU YA SABATO (Lililo kwenye Amri 10 za Musa katika Old Testament unayosema imetoka kwa Mungu) HUWA MNALIFUATA?
Hilo ndio swali langu na ninaomba ULIJIBU kama nilivyokuuliza
Wewe msabato? bora hata ungekuwa RC ningekusikiliza huko ndio umepotea kabisa.Kwanza nikusahihishe, unasema Jews wanamuamini Nabii Musa tu,SI KWELI.
Jews wanaamini Manabii wote wa "Agano la Kale" kama Daniel, Jeremiah, Obadia,Amos,Hosea, Ezekiel,Joel etc..
Back to the Topic:
HUJAJIBU SWALI LANGU.
Mimi nimekuuliza, JE AGIZO LA KUTOKUFANYA KAZI SIKU YA SABATO (Lililo kwenye Amri 10 za Musa katika Old Testament unayosema imetoka kwa Mungu) HUWA MNALIFUATA?
Hilo ndio swali langu na ninaomba ULIJIBU kama nilivyokuuliza
Mkuu, hapa tunaongelea OLD TESTAMENT. Habari za Yesu mwana wa Yusuph na Mariam hazipo Old Testament zipo New Testament.Mbona hukumalizia jews kuwa Yesu wamemkataa na walishasema Yesu si nabii na Mary alizaa nje ya ndoa tu hao mayahudi.
Hebu acha kukwepa swali!Wewe msabato? bora hata ungekuwa RC ningekusikiliza huko ndio umepotea kabisa.
Mkuu, hapa tunaongelea OLD TESTAMENT. Habari za Yesu mwana wa Yusuph na Mariam hazipo Old Testament zipo New Testament.
Wayahudi hawaamini New Testament, ndio maana sijataja chochote kuihusu.
Tulia, Topic hapa ni OLD TESTAMENT uliyoiongelea wewe.
Haya, Rejea kwenye swali langu na unipe Jib
Level yangu mimi Roman C sio msabato katafute size yako.Hebu acha kukwepa swali!
JIBU NILICHOKUULIZA
Jibu jepesi sana hiliWakiamua ni ndani ya dakika chache
Sabato ilikuwa kwa jews tu sio wewe huku makokoroni nenda kasome vizuri hata Luther king aliwaambia ilikuwa kwa mayahudi baada ya kutoka utumwani Egypt sio wewe huku. Hizo amri kumi umeona moja tu yote yaliyobaki mnayafanya kuzini mnazini kuiba mnaiba kusema uwongo tunasema na dini zote wanayafunja hayo hakuna hata moja linalotekelezwa.Hebu acha kukwepa swali!
JIBU NILICHOKUULIZA