Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,681
- 140,332
Ungetaja na hizo kashfa ingekua poa sana
Nitafurahi akichaguliwa kuwa mbunge maana atalazimika kuorodhesha mali zake zote, ukweli na umbeya ujulikane!
Ridhiwani ana makampuni chunya yapora madini ya dhahabu na kuacha mashimo chunya.pia utajiri wake wa kumiliki malori ya kusafirisha mafuta ya dalbit km kweli ni mali yake basi yeye ni beberu.hawafai wanachalize vinginevyo aweke wazi vyanzo vya utajiri wake.hakika riz hatachagulika
haaaaaa na wote wanapewa mgao kwenye rasilimali za taifa
Mkuu hebu tupe mifano ya hizo kashifa na ushahidi wake hili nasi tuzi chambue.Siku kadhaa baada ya CCM kupata mgombea ubunge Chalinze,imeonekana kijana huyu amechafuka chapa chapa na kashfa za ufisadi.Kila kukicha zimekuwa zikiporomoshwa kashfa kubwa na ndogo akihusishwa kijana huyu.Watu waliopewa jukumu kumuuza wanahaha jinsi ya kumsafisha. SWALI:Nani wa kumtawadha huyu mgombea