Mkuu, usiwazesana hata chadema ikipata nafasi ya kuongoza nchi mambo yatakwenza sawatu,achana na hawa walala hoi humu ambao wanaonyesha chuki iliyopitiliza hata kwa wafu, Mbowe his very smart, ikitokea hivyo atafanya kitu cha maana, from bottom of my hart nasema tena Mbowe his very smart man kuwahi kutokea kwenye siasa za upinzani Tanzania.Habari zenu
Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.
Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.
Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.
Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.
Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja
Asanteni
Mwananchi
GOAT 25
Mkuu, umeamua kuiacha ile ID ya zamani na kuamua kuitumia hii???Habari zenu
Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.
Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.
Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.
Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.
Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja
Asanteni
Mwananchi
GOAT 25
Lakini cha kushangaza ni kwamba, wakati ukiiona mioyo ya wana CHADEMA ikiwa imejaa chuki na nia ya kutaka kulipiza visasi, kwa upande mwingine unaiona mioya ya wana CCM ikiwa na furaha na nia ya kuwatendea haki hao CHADEMA. Hili halikukushangaza hata kidogo!Habari zenu
Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.
Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.
Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.
Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.
Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja
Asanteni
Mwananchi
GOAT 25
Kwanini unahofia visasi? Kwani jambazi hili la kike kutoka nchi ya kigeni kuna maovu limefanya?Habari zenu
Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.
Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.
Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.
Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.
Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja
Asanteni
Mwananchi
GOAT 25
Aliyejaza chuki ni Yule alyeagiza kuwa "nakupa mshahara mzuri, nyumba na gari zuri halafu umtangaze mpinzani?". Kuanzia hapo Wakurugenzi wakawa wanakimbia fomu za wapinzani. Hali ikaendelea kwenye uchaguzi mkuu wa Oct 2020 ambapo ukaanzishwa mtindo wa kupita bila kupingwa. CCM kabla ya kupiga kura tayari Wana wabunge 80 wa kupita bila kupingwa. MAWAKALA wa upinzani wakaondolewa wengi, kura za bandia zikashamiri. Kwa hali hii, mwanzlishi wa chuki ni nani?Habari zenu
Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na Huku JF.
Ndugu zangu ondoeni roho za chuki na visasi ili mjikite kwenye kunadi Sera za chama chenu ili kupata wanachama wapya.
Mkipata nafasi nawaona mkijikita zaidi kwenye ulipizaji wa visasi badala ya ujenzi wa nchi.
Nchi yetu hii nzuri Tanzania imejengwa kwenye misingi ya amani na umoja.
Tujikite kuendeleza hayo kwa pamoja
Asanteni
Mwananchi
GOAT 25
Amka kumekuchaHabari zenu