Ndugu zangu Wana CCM na hasa UVCCM tusaidianeni kukomesha aibu hii inayoendelea sasa hapa Nchini kutoka kwa hawa vijana "waganga njaa" watoa matamko!
Kuna huyu kijana anaitwa Augustino Matefu anayejitambulisha kama Afisa Uhusiano/Habari wa "taasisi isiyo ya Kiserikali" ya CZI Media Consultant Ltd, anaonyesha upeo mdogo sana na matamko yake yanakifedhehesha Chama na hususani UVCCM na hata Serikali ya JMT aliyojipa kazi ya kuwa Msemaji wake!
Hivi hawa akina Augustino Matefu wamesomea nini na katika vyuo gani!? Hawajui hata tofauti ya NGO na "Limited liability Company"!? Unawezaje kusajili Kampuni kwa ajili ya kutoa matamko tu! "Cashflow" yako inakuwaje!? Ukitazama kwa makini hizi"movement" za akina Augustino Matefu na Mtela Mwampamba wa JUKWAA LA WAZALENDO utagundua kitu kimoja tu kuwa hii yote ni kupwaya na kukosa viongozi wenye uwezo kwa UVCCM !!
Hawa vijana wanashindana kutoa matamko wakati mwingine hata ya kijinga kabisa na yote katika kujipendekeza kwa viongozi ili kupata pengine uteuzi wa nafasi za uongozi hasa uDC. Wale wa Jukwaa la Wazalendo angalau wameshapata DC mmoja pale DAR pengine kutokana na matamko yao! Kuthibitisha ninayoyasema hapa mtu afuatilie matamko ya huyu Augustine Matefu na hiyo Kampuni yake anayoita "taasisi isiyo ya kiserikali" ya CZI LIMITED dhidi ya Wafanyabiashara na Wabunge walioungana kumhujumu Rais John Magufuli na pia tamko lao dhidi ya Profesa Lipumba.
Mwisho nashauri kuwa ifike mahali vijana na hasa vijana waliosoma na kuelimika tutambue kuwa si lazima wote tuwe viongozi wa kisiasa,tuingie katika uzalishaji,tutengeneza fursa na tushike uchumi wa Nchi yetu! Tuwe viongozi ktk UCHUMI pia na siyo katika Porojo za Siasa tu!