Daniel Mjema Member Joined Jul 23, 2007 Posts 77 Reaction score 84 Oct 1, 2012 #1 Wana JF Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu. Nimelipia DsTV kwa M-Pesa lakini mpaka sasa haijawa activated, nifanyeje?Niliwahi kusoma kwenye tangazo lao moja kuwa isiporudi kuna code namba za kutuma sms. Please naomba msaada.
Wana JF Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu. Nimelipia DsTV kwa M-Pesa lakini mpaka sasa haijawa activated, nifanyeje?Niliwahi kusoma kwenye tangazo lao moja kuwa isiporudi kuna code namba za kutuma sms. Please naomba msaada.