Naombwa kujuzwa kuhusu hili...

Naombwa kujuzwa kuhusu hili...

Dauditairo12

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
7
Reaction score
1
Je, ninaweza kusoma degree yeyote ya afya nikiwa na Diploma ya Computer Science?
 
Degree za kada ya Afya zitolewazo kwa hapa Tanzania ni pamoja na
1.Degree ya Udaktari
2.Degree ya Uuguzi/Ukunga (Zinatofautishwa siku hizi)
3.Degree ya Famasia
4.Degree ya Udaktari wa Kinywa na meno
5.Degree ya Sayansi ya maabara
6.Degree ya mionzi

Udahili katika degrees tajwa hapo juu unategemea na ufaulu wako katika masomo ya (PCB pamoja na Nutrition)
Ambao ufaulu unatakiwa ni kuanzia alama 8 (Cutting points) hadi 3 pamoja na kigezo cha kua na cheti level ya diploma katika taaluma yyte kati ya hizo,hivyo kua na Diploma ya Computer siyo kigezo sahihi!
 
Back
Top Bottom