Naombeni wataalamu wa mambo mje hapa

memory card

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
252
153
NATARAJI KWENDA SEHEMU AMBAYO KISIMBUSI KINACHOTUMIA ANTENA HAKISHIKI NETWORK......

NAULIZA HIKI KISIMBUSI KINAWEZA KUTUMIA DISH..... nilienda kwa fundi dish wa kwanza kasema kinaweza na yeye anacho kama hiko anatumia dish...fundi wa pili ile nakitoa tu kasema hiko cha antena......pia naona kadi yake ina sign ya dish na antena.....na kuna fomu ya startime ndo kabisa siielewi

NM: WAHUDUMU WA STARTIMES HUDUMA KWA WATEJA NAHISI WENGINE HAWAJUI LOLOTE MAANA MAJIBU YAO HATA SIYAELEWI.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…