Naombeni utofauti wa vitu hivi

Naombeni utofauti wa vitu hivi

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
732
Reaction score
2,443
Wataalam naombeni utofauti wa sehemu hizi pamoja na sifa zake.
BAR, NIGHT CLUB na RESORT, sifa ya bar ni ipi, ya resort ni ipi na sifa ya night club ni ipi?

GROCERY NA LIQUOR STORE, sifa ya grocery ni ipi na ya liquor store ni ipi?

HOTEL, MOTEL na INN, sifa ya hotel ni ipi, ya motel ni ipi na ya inn ni ipi? GUEST HOUSE NA LODGE, sifa ya guest house ni ipi na ya lodge ni ipi? TUNDU NA TOBO, sifa ya tundu ni ipi na sifa ya tobo ni ipi? MFEREJI NA MTARO, sifa ya mfereji ni ipi na ya mtaro ni ipi?
 
Back
Top Bottom