Mm nlichaguliwa chuo kikuu cha daresalam ila wakatutema kwa sbabu mbali ikabidi nfanye application upya through nacte na nmechaguliwa chuo kingine ila till now hcho chuo hakijatoa majina ytu kw maana hyo hakuna uthibitisho wwte km nmechaguliwa hapo ss mm nfanye nn na cku znaenda mno na masomo yameshaanza pia?
Nlimtafta lecture wa kumuamn hapo chuo nkamwambie aniulzie hyo kitu still wakamwambia halijafika jna lang na nmefanya hvyo coz chuo na mkoa wangu ni mbali xna