Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

NDARAGIJE

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
5
Reaction score
0
:crying::crying::crying::crying:NAOMBEN MNISHAURI
nilimaliza kidato cha nne mwaka jana nina miaka (19) jinsia me) mchepuo science nina GPA 3.4
niliumwa hivyo nilirudishwa nyumbani kwa ajili ya matibabu wiki moja tu baada ya kuripo shuleni nilichaguliwa PCB
NA MPAKA MDA huu cjasoma kitu chochote na cna idea kwan sikuxoma tution kulingana na uwezo mdogo wa kiuchumi
wezangu wameshafika mbali kimasomo je nirudie mwaka.Kuna kaka mmoja nilimwaleza juu ya mkasa huu yeye amenishauri nirudie kwani pcb cio mchezo pia rafiki yangu anayesoma comb hiyo ameahidi kunifundisha
 
WAKUBWA SHIKAMON:crying::crying::crying::crying:NAOMBEN MNISHAURI nalia kwani nimeshindwa nifanyeje
nilimaliza kidato cha nne mwaka jana nina miaka (19) jinsia me) mchepuo science nina GPA 3.4
niliumwa hivyo nilirudishwa nyumbani kwa ajili ya matibabu wiki moja tu baada ya kuripo shuleni nilichaguliwa PCB
NA MPAKA MDA huu cjasoma kitu chochote na cna idea kwan sikuxoma tution kulingana na uwezo mdogo wa kiuchumi
wezangu wameshafika mbali kimasomo je nirudie mwaka.Kuna kaka mmoja nilimwaleza juu ya mkasa huu yeye amenishauri nirudie kwani pcb cio mchezo pia rafiki yangu anayesoma comb hiyo ameahidi kunifundisha[/QUOTE]

au niende shuleni kwani nilipewa ruhusa .NISAIDIEN MDOGO ENU
ALAMSIKI
 
Mh! Kwa Uxhaur Wangu Meme Naona Bd Hujachelewa Mana Wenzako Wanamiez Miwl Shulen Kwahyo We Nenda Kale Mxul Wa Kuzd ,never Gv Up.
 
Kapige pindi usiwe na presha and usiangalie fulani yuko wapi we jitazame mwenyew madickashen na wana mambo yatakua murua tu. al the best.
 
kapige 5 mbona hujachelewa ukizingatia na kuna wenzako wanaoenda 2nd selection mtakuwa pamoja katika kufidia pale mlipoachwa
 
bado mda sana usrud nyuma kadhana...ndo kwanz wana miez miwl ukiamua unaweza kuwafikia cha muhmu likzo ya mwez 12 uifanyie kwel hakuna kulegeza
 
usikate tamaa bado mapema,kama rafiki yako ameshasema atakusaidia na ukiongeza na kwenye discussions utatoka sana tu..... all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom