Naombeni ushauri

Jaribu kumuomba mkeo akikubali fanya ivo
 
Pole sana we dada mwenye hilo tatizo. Mungu ni jibu.
 
kwanza nimpongeze huyo dada kwa ustaarabu alionao. kwakua anashida na kakufuata vizuri kukueleza ila sema wewe sio msaidiaji ila ni mchoyo. sasa uchoyo wa namna hiyo siyo mzuri kumbuka kwamba yule ashawahi kua mpz wako so hakuna kinachoharibika. halafu leo kwake kesho kwako kumbuka na wewe utaweza kuja pata shida. mpe mtoto mama wa watu alee, kwani we una hasara gani sperm ziko kwa mamilioni na haziishi. na kumbuka kua mtoto ataendelea kua wako tuu na hata kama akija kua rais bado sifa na utukufu zitakurudia wewe mtoaji kwa sababu haukua na choyo. kama huwezi mfoward kwa watu wengine naamini tuko wengi wenye utayari wa kusaidia
 
Ndugu naombeni nilete feedback ya ushauri niliokuwa nimeomba kwenu. Kwa kweli nilisumbuliwa sana na yule dada mwisho wa siku nikapiga kazi na imezaa matunda, she is now pregnant of approaching 2 months. Sikuwa na jinsi ilibidi nimsaidie tu.
 
Mke wa mtu muheshimu.

Msaada utakaomfaa mwambie avumilie huko huko kwa mumewe
 
Yawezekana unania ya kumsaidia yeye ktk hilo tatzo lake,lakin je umefikiria upande wapili wa ndoa yako??

Let say mkeo kaja pata hiyo taatifa kuwa ww una mtoto mwingne nje,unadhani atakuamini tena??

Sidhani kama itakuwa ni jambo zuri ukimkubalia,hasa ukizingatia umeoa
 
Ndugu naombeni nilete feedback ya ushauri niliokuwa nimeomba kwenu. Kwa kweli nilisumbuliwa sana na yule dada mwisho wa siku nikapiga kazi na imezaa matunda, she is now pregnant of approaching 2 months. Sikuwa na jinsi ilibidi nimsaidie tu.

kwa hyo umemsaliti mkeo wa ndoa sio?
 
Ikiwa ni udhauri kwako wewe usithubutu kufanya hilo., ushauri kwa huyo dada kama anataka kweli kutunza heshima azae na mtu asiemjua na wala huyo mwanamme asijue kua amempa ujauzito

Duu!haya maisha ya ndoa ni changamoto sana!Watoto ni zawadi kutoka kwa mungu jamani...Kama wanapendana kiukweli kuna njia nying za kuplant mbegu kwa mwanamke bila kuingiliana kimwili..wataalam wanajua zaidi!!lakin mim niliona ndoa moja mwanaume alikuwa na shida ya uzazi lakini baada ya kupewa ushauri..waliplant mbegu za mumewe kwa mke huko nchin nairobi na sasa wana mtoto..ni copy ya baba wala no DNA test...In short broo usijaribu kumsalitu mkeo kwa kweli..wew mkatalie mwambie huwezi bas!Sion sababu ya wewe mwanao kupewa baba mwingine
 
Ndugu naombeni nilete feedback ya ushauri niliokuwa nimeomba kwenu. Kwa kweli nilisumbuliwa sana na yule dada mwisho wa siku nikapiga kazi na imezaa matunda, she is now pregnant of approaching 2 months. Sikuwa na jinsi ilibidi nimsaidie tu.

Jua hakuna siri chini ya jua.
Jitayarishe matokeo ya ndoa yako pindi mkeo atakapojua una uhusiano na X - girlfriend wako na mmezaa baada ya ndoa yenu.
 
Hebu fanya kama una ni PM her dials hafu niwe the surrogate wake. Wee kaa lea ndoa yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…