naombeni ushauri

pole sna dada..dalili ya mvua ni mawingu..au hujui kusoma nyakati...kashachepuka huyo.wewe fanya tuu final decisition..
 
aaaiiisee...sasa tufanyeje??hebu lete nr nimpigie huenda kakublock..

sasa ni hivi,usitanguliZe mawazo hasi maybe alikuwa bar anamuita muhudumu..


Hahaaa!!
Twin umenifurahishaje?
Hizi busara mingi mingi unachota wapi mamy?
 
tulia shka mambo yako kama n Mungu amekupangia yeye atarud kwa mda wak
 

Huwa nasema kila siku kuwa ukikutana na hali kama hiyo ujue Mungu anakupenda sana na unapaswa kumshukuru kwakuwa amekuonyesha mapema...Waulize wenzako ambao wameshtukia hizo ngoma wakati wamehifadhiwa nyumbani tayari..
 

Acha uchoyo, kugawana ni kujali.
 
duh pole mpenzi... temana nae huyo heart breaker... hastahili uaminifu wako. period!!!!!
 
Mmh poleeee utapata mwingne anayekupenda kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…