naombeni ushauri

j.j

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
24
Reaction score
2
mi ni mgeni lakin nina mpenzi wang wa kiume, tuko mikoa miwili tofauti nampenda sana na sijawai kuwaza kumsaliti lakin nimempigia simu usikuu huu kapokea bila kujijua nkawa namsikia anamwita mwanamke aliye naye karibu aje na kwa sasa kazima simu kabisa ila kumpenda nampenda lakin naogopa kushare, naogopa ukimwi , jamn nifanyaje hapa nilipo siwez hata kulala na mawazo sana
 
mpigie tena umuulize
why ushindwe kulala huku mwenzio anakula raha?
 
maliza shule kwanza, wanamme ndio wameshushwa na makontena, wamejaa na hawaishi.
 
hic km cm yake imezima charge ili ulale kwa amani hata km unaibiwa, na kumbuka fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
 
vijana mnaniacha hoi mnavopelekeshwa na mapenzi, hata hamjafunga ndoa ila unakua crazy over someone... hivi ni mimi napitwa au? hua napenda, sema situation kama hizi hua nasahau fasta navuta mpya, mara nyingi ukimkosa unampata mkali zaidi sasa sijui ya nini watu wanang'ang'ania mapenzi.. kwani ulivokua hamjakutana ulikua huishi? anapiga mishe unasema "kumpenda nampenda" hahahahaha ngoja nicheke
 

nashukuru kwa ushauri wako
 
hic km cm yake imezima charge ili ulale kwa amani hata km unaibiwa, na kumbuka fimbo ya mbali haiuwi nyoka.

ni kweli na asante nmeamua ntakaa mwenyew sintokufa japokuwa inaumiza
 
niPM namba yako! nikusaidie kukuliwaza ........
 
aaaiiisee...sasa tufanyeje??hebu lete nr nimpigie huenda kakublock..

sasa ni hivi,usitanguliZe mawazo hasi maybe alikuwa bar anamuita muhudumu..
 
Kuwa na subra ndugu. Yuko busy na atapokea simu yako akipata nafasi.
 

aisee! Ww ndio j.j ninayemfaham mm au mwingne!! Kama ndio ww ninayekufaham basi huyo jamaa yako ameshindikana
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa masahibu hayo best ndo dunia ilivyo best wanaume siku hizi wamekuwa michepukko hatari tena hawajifichi kabisa sijui nikushauri vipi ila nachoomba kuwa mvumilivu na mstahimilvu halafu endelea kumdadisi sana ujue kama ameshakuchepuka ana kachepukia kwa miwingine ukiona dalili zote hizo fanya maamuzi magumu ya kuachana naye atakuletea balaa bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…