Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

jacqu

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Habari zenu wana jf kuna shoga yangu amenijia anaomba ushaur kwang.yeye ni mama mwenye watoto 2 mume wake ni mwanajesh walioan wakiw na maish ya kawaida badae alipat cheo tena kikubwa cha ajab pamoj na mshahara wake kuwa mzur maish hayakubadilik cn hal ngumu ya maish iko pale pale tatiz lilokua zit sana kwake umalay yn kun ck alijarib majina kama matatu yakike kweny cm yak yalikua ya savewa mrs kila niliyemuliza wewe ni mrs fulan alikataa mwishon nikaamua kuwahoji wote walikiri mume wake anawatak hakuwez kuendelea tena na majina mengine coz alijiogopa alivyomuliza akamnunia ameshawah kumkut na sms za mapenz za wanawak 3 tofaut alipomuliz akaomb msamah akasem hatarudia tn tatiz lingine mume wake cm yak ina password kibao akikutajia leo kesh anabadil ukimuliz anadai ni kwaajil ya ulinz sas amemchok ila anawafikiria wtt wake nisaidien nimshaurije?
 
Akitaka awe na amani.......awachane na hiyo simu......
 
Anapenda presha huyo mwanamke......kwanza amekwishagundua kuwa huyo mwanaume ni kiwembe.Sasa kazi iliyopo ni yeye kujilinda basiiii!!!!!sio kuendelea kuangaika na cm ya mwanaume
 
Habari zenu wana jf kuna shoga yangu amenijia anaomba ushaur kwang.yeye ni mama mwenye watoto 2 mume wake ni mwanajesh walioan wakiw na maish ya kawaida badae alipat cheo tena kikubwa cha ajab pamoj na mshahara wake kuwa mzur maish hayakubadilik cn hal ngumu ya maish iko pale pale tatiz lilokua zit sana kwake umalay yn kun ck alijarib majina kama matatu yakike kweny cm yak yalikua ya savewa mrs kila niliyemuliza wewe ni mrs fulan alikataa mwishon nikaamua kuwahoji wote walikiri mume wake anawatak hakuwez kuendelea tena na majina mengine coz alijiogopa alivyomuliza akamnunia ameshawah kumkut na sms za mapenz za wanawak 3 tofaut alipomuliz akaomb msamah akasem hatarudia tn tatiz lingine mume wake cm yak ina password kibao akikutajia leo kesh anabadil ukimuliz anadai ni kwaajil ya ulinz sas amemchok ila anawafikiria wtt wake nisaidien nimshaurije?

Watu wanajua kujiongezea matatizo mwambie mama apambane na watoto wake atajijaza furaha,faraja na raha tele mpaka huyo mjeshi wake aogope
 
Habari zenu wana jf kuna shoga yangu amenijia anaomba ushaur kwang.yeye ni mama mwenye watoto 2 mume wake ni mwanajesh walioan wakiw na maish ya kawaida badae alipat cheo tena kikubwa cha ajab pamoj na mshahara wake kuwa mzur maish hayakubadilik cn hal ngumu ya maish iko pale pale tatiz lilokua zit sana kwake umalay yn kun ck alijarib majina kama matatu yakike kweny cm yak yalikua ya savewa mrs kila niliyemuliza wewe ni mrs fulan alikataa mwishon nikaamua kuwahoji wote walikiri mume wake anawatak hakuwez kuendelea tena na majina mengine coz alijiogopa alivyomuliza akamnunia ameshawah kumkut na sms za mapenz za wanawak 3 tofaut alipomuliz akaomb msamah akasem hatarudia tn tatiz lingine mume wake cm yak ina password kibao akikutajia leo kesh anabadil ukimuliz anadai ni kwaajil ya ulinz sas amemchok ila anawafikiria wtt wake nisaidien nimshaurije?

Siku nyingine andika vizuri basi.
 
^^
Mwanajeshi ana W..3
Women War Wine
mwambie ivo
^^
 
Back
Top Bottom