Naombeni ushauri...

TOM KENYARES

Member
Joined
Jun 3, 2020
Posts
19
Reaction score
8
Mke wangu haniamini huwa anadhani nikichelewa nyumbani nje ya saa mbili usiku anajua niko nyumba ndogo. Ushauri jamani
 
Mke wangu haniamini huwa anadhani nikichelewa nyumbani nje ya saa mbili usiku anajua niko nyumba ndogo,ushauri jamani
Tafuta uaminifu kwanza, uwe unatoka nae out na kumtambulisha kwa marafiki wa kike na kiume mara kwa mara kila unapopata chance...weka simu password, ila mpe password yako...fanya hivo kwa mda wa kama miez 3 hivi..then utagundua kitu. Kama huna aibu, unaweza ukamjaribu siku moja ukamwambia kama ataweza, awe anakuletea chakula (lunch) hapohapo kazini maana unapenda chakula chake sana. ....kila mtu lazima ajue namna ya kuteka akili za mkewe.....
 
Siamini kama mke wako alilala tu usiku akaamka kesho yake asubuhi akawa hakuamini.!!
Lazima kuna ulichofanya ama unachofanya kinamjengea picha tofauti kwenye akili yake na inawezekana tayari ulikwishavunja uaminifu wake..!

Sasa Mr. Tom, mpaka mkeo a-regain her trust to you, lazima utumie nguvu kubwa sana ya ushawishi kumuaminisha tena, na hii haitokuwa '100% trust' that I can assure you.!

Wanaume wenzio wanakuja kukupa maujuzi.!!
 
Ahsante kwa ushauri
 
Sawa,yaani hata nikisimama na jirani yangu wa kike getini nje baadae lazima aulize mlikuwa mnaongea nini
 
Aisee jamaa unashindwa kujua nini chakufanya jambo dogo kama hili.
 
Ushauri mzuri kabisa
 
Ngojeni niende great thinkers nione watanishauri nini maana imekuwa balaa wadau sio jambo la mchezo yaani siku hizi mimi kuongea na madem kwangu ni shughuli yaani nimekuja kujifunza kuna wanawake wana wivu kinyama
 
Ulimuokota wapi? Ni housewife?Hajui saa mbili watu wengi wako njian wanarudi?
Mtafutie shughuli afanye muwe mnapitiana mnarudi pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…