Naombeni ushauri

nana29

Member
Aug 20, 2013
18
2
Habari zenu wanna jf. Naombeni ushauri kwenye bwawa langu la samaki Kuna vitoto vingi sana vya chura . Je hivi vinaweza kudumaza vifaraga wanguwa samaki? Nitafanyaje kuviondoa . Asanteni sanaa
 
Nadhani si vizuri wao kuwepo,namna ya kuwatoa tusubiri wataalamu au wenye uzoefu watusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…