habari zenu!!!
mimi nina X wangu ambae tulitengana tangu2005, tulikua tunapendana sana zaidi ya sana tulikua form 4, tulipomaliza shuleyeye akaenda depo mimi na nikaenda chuo cha utangazaji kwa mda wote huo hatukuana mawasiliano tumekaja kukutana mwaka huu tayari akiwa na mke na watotowawili. sasa jaman tungu tulipoonana hatulii anataka turudishe mahusiano miminimemwambia haiwezekani sababu wewe tayari ni mme wa mtu japokua hatukosana natulikua tunapendana sana.sijui nifanyeje sababu hatulii na mimi upendo umerudi nishaurini nifanyeje je