Kijana nakushauri rudi kijijini kwenu ukaanzishe biashara ya vyakula ukusanye kwa jumla kisha utafute eneo uuze.Utatoka baada ya muda hutaamini!,na kama dar ndio kwenu kabisa basi nenda maeneo ya kawe ama mbagala fanya hiyo akili niliyokupa utatoka
Hongera kwa kuweza kukusanya na kuhifadhi hiyo kilo mbili. Nakushauri ununue vipande vya umoja 4400 kwa shs 2Mil kisha rudia njia ile ile iliyokuwezesha kupata hiyo 2Mil kwa mwaka au miwili hivi kwa vyovyote katika kipindi hicho utapata wazo zuri la kibiashara kuliko sasa wakati hiyo pesa bodo ya moto na wewe hujajua ufanye nini. Kila la kheri.

Nunua guta(tricycle) 3@600,000 tafuta vijana unao waamini, hesabu ni 10,000-15,000 ingawa yeye atakunja kama 40,000/siku,kwa hiyo
30-45/kwa siku =900,000-1350000/mwezi unaishi kabisa
Nunua guta(tricycle) 3@600,000 tafuta vijana unao waamini, hesabu ni 10,000-15,000 ingawa yeye atakunja kama 40,000/siku,kwa hiyo30-45/kwa siku =900,000-1350000/mwezi unaishi kabisa
Hii nimeipenda sana Unataka kuniambia Guta zile za Toyo ni shs Laki 600,000/- moja or cjaelewa?Na ahapa Dar naweza kwenda kununua kesho wapi?Maana nna kijana anafanyaga usafi tu ningepatia hilo ingefaa sanaa