mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 464
unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .Wanawake tufikie mahali tujitambue Sasa
Hata aibu hujionei?
Utadanki danki kwenye mahusiano had lini?
Me nakushauri ungepumzika kwanza
Akikutenda tena utakuja kulialia
Please know your worth
Mama wanaume hawana gunduunajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
Ikawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
Sawa haha zako za kimwili unazimaliza vp?,..unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
sijui wanapata faida gani na story zao za uongoMama wanaume hawana gundu
Bali ulipata asiesahihi kwako akakuoneshea true colour yake
Usiseme ukamaliza mama
Huyu binti hata simwamini Na stories zake za changamsha genge
Yaani sjui anafikiria nini mara wasukuma wanamkosha aiseeeesijui wanapata faida gani na story zao za uongo
Yaani sijui tumekukosea nini wewe miss!unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
unatujazia post tunashindwa kushauri wengineNimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
Watu tuko tofauti sana. Wengine humu wanapima upepo tusijui wanapata faida gani na story zao za uongo
sina nilichoelewa naona watu wanatafta fursawe unamwelewa
ha ha ha promo at workYaani sjui anafikiria nini mara wasukuma wanamkosha aiseeee