Eamon Jacky
New Member
- Feb 7, 2017
- 4
- 3
Kuna demu nimelala nae hapa anakata simu kila dakika, then naona kabloku namba alafu naona anambloku mtu Instagram, Facebook, Twitter, WhatsApp, sijui huyo jamaa kamuuzi nini hapa songea.Nina mpenzi,huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano.Ila kwa bahati mbaya au nzuri,hatuishi pamoja kwasasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi.Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni,alinikuta nawasiliana na ex
Au siyo? Kikulacho ki nguoni mwakoTufanye icho ulichokifanya angekifanye yeye alafu akakwambia ni mazungumzo ya kawaida tu ungekubali?
Mshika mbili moja umponyoka nenda kwa ex kajipoze machungu
Maex wakishaona Mambo yako yanaenda kuwa mazuri wanageukaga wachawi
Sasa hapa ushauri ni nini jomoni? Mtumie angalau dola 100 akampoze basi. haha (joking!)Usiseme unampenda sana, ungempenda usingemfanya fala. Kafuta Namba we umeitafuta na umeendelea kuwasiliana nae. Wewe ni lofa
Usijifanye kumpenda, we unampenda ex wako ambae hakupendi ndio maana alikuacha.
Ujinga zaidi ni kusema mnawasiliana mambo ya kawaida
Dah! Mshauri hata kwa kufumba macho jomoniHata ningekua mimi ningekasirika na inaonekana bado unampenda Ex wako ndio sababu hukomi kuwasiliana nae. Mimi sina hata ushauri nikupe tu pole.
Huna akiliNina mpenzi,huu ni mwaka wa pili sasa tupo kwenye mahusiano.Ila kwa bahati mbaya au nzuri,hatuishi pamoja kwasasa mimi nipo Manyara kikazi na yeye yupo Songea kikazi.Kuna ugomvi ulitokea kati yetu hivi karibuni,alinikuta nawasiliana na ex wangu japo kuwa yalikua ni mazungumzo ya kawaida tu na wala hatukua na lengo baya ni basi tu kujuliana hali.Ila kilichomkasirisha yeye sio kuwasiliana nae bali ni kukuta ile namba ya ex wangu kwemye simu yangu tena na tunawasaliana wakati yeye mwenyewe ndio aliifutaga kwenye simu yangu kipindi cha nyuma.Ameniblock kila sehemu mpaka instagram ameniunfollow leo ni siku ya nne.Bado nampenda sana na nina malengo nae.Naombeni ushauri,nifanyaje?
Nakazia [emoji419][emoji419]We ni me au ke
[emoji23][emoji23]Huna akili
Hapo ni asubiri tu kama mwanamke ataamua kusamehe ama vipi vinginevyo atulie tu mana kayakoroga mwenyewe.Dah! Mshauri hata kwa kufumba macho jomoni
😂Huna akili
Ndio inavyokuwaga mkuu kwenye miti hakunaga wajenzi yani pisi za manyara zote zile bado mtu anakuja na story za ExUnaishi manyara na bado mapenzi yanakutesa
Wambulu wote hao ni kitendo cha kutoka nje tu hapo barabarani unamshika mkono unamvuta ghetto hawakatai kabisa