Naombeni ushauri wana jf

Naombeni ushauri wana jf

E.l.ve

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
134
Reaction score
22
Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka huu.chakushangaza ama chakutisha X huyu amenipigia cm usiku huu nakuniambia maneno makari sana kiasi kwamba nimekosa adi amani.kanipigia cm kupitia number ngeni na nilipopokea kaniambia kuwa.Umenipotezea mda sana nanilikuwa nafikiria nikufanyanye ila baada yakujua chakukufanya nimeona leo nikwambie.akasema kuwa Nitakufanya kitu kibaya sana akasema labda sio yy anaetokea Usukumani.kiukweli kanitisha sana na mwisho akamalizia labda ningekuwa sifahamu majina yako yote matatu lakini yote nayajua lazima nikukomeshe.mpaka sasa sielewi atanifanyaje maana kasema ww siunajifanya unamjua sana yesu.mwenzenu nifanyaje maana alishawai kusema siku nikimuacha atahakikisha ananitoa duniani hata kwa mtt wa bunduki ili mladi asinione wala kunisikia duniani.niende wapi mwenzenu kwani yy mwenyewe ndo alishindwa makubaliano 2liyowai kuwekeana na aliniapia kuwa atajirekebisha lakini alishindwa.mungu wangu upo wapi uniokoe...
 
mdada unapata shida gani kwa maneno hayoo aloyatoa X wako??

hebu kwanza kabisa nenda mbele za Mungu kama kweli unamwamini kisha utubu. Mwambaie Mungu nakuomba uisamehe kwa kutumainia akili yangu na kumuogopa awezaye kuua mwili asiue roho. Kisha mwambie Mungu asimame na atete nao wanaoteta nawewe na yeye ashughulike nao, ainue mkono wake uwe ngao na kigao mbele zako amuangushe adui yako aaibike. shimo alilokuchimbia huyu adui yako adumbukie mwenyewe.

kisha auzame ndani ya damu ya Yesu jifunike jizungushie Moto wa Roho mtakatifu, mpige upofu adui yako asikuone kabisa. halafu sasa mshukuru sana Mungu kwasababu uhai wako umefichwa mikononi mwake na wala hata uacha mguu wako usogezwe na zaidi ya yote hata sinzia yeye aliye mlinzi wa israeli asikuone.
 
Kitakacho kutoatdunia si huyo X wako, bali ni hofu iliyopo ndan yako!

pole sana, chukulia kawaida tu kama maneno mengine. Utakapo waza sana maneno yake ndo chanzo cha wewe kupotoka na kupotea.

Kuwa na aman na iman kwa Mungu wako.
 
mdada unapata shida gani kwa maneno hayoo aloyatoa X wako??

hebu kwanza kabisa nenda mbele za Mungu kama kweli unamwamini kisha utubu. Mwambaie Mungu nakuomba uisamehe kwa kutumainia akili yangu na kumuogopa awezaye kuua mwili asiue roho. Kisha mwambie Mungu asimame na atete nao wanaoteta nawewe na yeye ashughulike nao, ainue mkono wake uwe ngao na kigao mbele zako amuangushe adui yako aaibike. shimo alilokuchimbia huyu adui yako adumbukie mwenyewe.

kisha auzame ndani ya damu ya Yesu jifunike jizungushie Moto wa Roho mtakatifu, mpige upofu adui yako asikuone kabisa. halafu sasa mshukuru sana Mungu kwasababu uhai wako umefichwa mikononi mwake na wala hata uacha mguu wako usogezwe na zaidi ya yote hata sinzia yeye aliye mlinzi wa israeli asikuone.

Asante kwa ushauri.ila jamani mwenzenu sielewi nimemkosea nini mpaka ananifikiria mabaya.kaniambia ananipa siku moja 2.
 
acha ujinga wa kuwaza kitu ambacho meanwhile hakina maana. kwangu mimi ishu sio kwann anataka kukudhuru ishu ni hofu iliyoko ndani mwako inayokunyima amani, sasa ili upate amani sali sana kwa mungu wako.
 
Acha woga mkuu, huyo ni kelele za bure tu! Anaetaka kufanya baya hawez kutangaza, kua na aman brow!
halafu ushahidi wa kimaelezo yako inaonyesha anatumaini uchawi katina kukuua ndo maana anazungumzia majina matatu na wewe kua karbu na yesu! hana lolote huyo anajuta kukupoteza!
 
[QUOTE

Kwani mleta uzi ni mwanamke au mume? Mbona SNAIL anamwita bro halafu wewe unamwita mdada? au umeshapata yale mambo yako?=gfsonwin;6619477]mdada unapata shida gani kwa maneno hayoo aloyatoa X wako??

hebu kwanza kabisa nenda mbele za Mungu kama kweli unamwamini kisha utubu. Mwambaie Mungu nakuomba uisamehe kwa kutumainia akili yangu na kumuogopa awezaye kuua mwili asiue roho. Kisha mwambie Mungu asimame na atete nao wanaoteta nawewe na yeye ashughulike nao, ainue mkono wake uwe ngao na kigao mbele zako amuangushe adui yako aaibike. shimo alilokuchimbia huyu adui yako adumbukie mwenyewe.

kisha auzame ndani ya damu ya Yesu jifunike jizungushie Moto wa Roho mtakatifu, mpige upofu adui yako asikuone kabisa. halafu sasa mshukuru sana Mungu kwasababu uhai wako umefichwa mikononi mwake na wala hata uacha mguu wako usogezwe na zaidi ya yote hata sinzia yeye aliye mlinzi wa israeli asikuone.[/QUOTE]
 
Kama alivyokwambia gfsonwin fuata ushauri huo ikiwa kweli wewe unamwamini Yesu. Maana hakuna upanga utakaoinuliwa juu yako ukashinda. Amini tu na Mungu atatenda, kemea hiyo roho ya hofu inayokusumbua mkabidhi bwana njia zako zote na yeye atafanya. Hivi hujui kuwa aliye ndani yako ni mkuu kuliko wote walio nje yako. Je hujui kua unayo mamlaka juu ya kila kijiinuacho kinyume na Mungu. Tena ni dhambi kumfanya Kristo mdogo/dhaifu yakupasa utubu kwa hili.
 
Last edited by a moderator:
ya kawaida sana hayo.
We wa wapi?hapa mjini mikwara ni kawaida yaani tumikwara kidogo tu na thread juu.
Ha ha nakumbuka kuna mdada alikuwa ananiibia nilimpa mkwara kwa simu na kuzimia alizimia.
Hivi ukikutana na mkwara wa lara 1 si utahama mji kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu ni moja,mnayakologa then yakiwashinda ndo mnakimbilia kuomba ushauli,ni vyema tunge msikia na yeye ilituwweze kujua unayo ya sema ni kweli ua la ndo upate ushauli juu ya jambo lako.
 
Hivi mpaka sasa kuna watu wanaamini kwamba uchawi upo?

Huyo X wako anakutisha tu ili angalau uweze kurudushe moyo nyuma na uweze kumkubalia kwa maana ameona kila njia anayoitumia ili aweze kukufanya uwe wake tena imeshindikana.

Believe me hilo ni sawa na "biti la mbu nje ya neti" kamwe halina madhara.
 
Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka huu.chakushangaza ama chakutisha X huyu amenipigia cm usiku huu nakuniambia maneno makari sana kiasi kwamba nimekosa adi amani.kanipigia cm kupitia number ngeni na nilipopokea kaniambia kuwa.Umenipotezea mda sana nanilikuwa nafikiria nikufanyanye ila baada yakujua chakukufanya nimeona leo nikwambie.akasema kuwa Nitakufanya kitu kibaya sana akasema labda sio yy anaetokea Usukumani.kiukweli kanitisha sana na mwisho akamalizia labda ningekuwa sifahamu majina yako yote matatu lakini yote nayajua lazima nikukomeshe.mpaka sasa sielewi atanifanyaje maana kasema ww siunajifanya unamjua sana yesu.mwenzenu nifanyaje maana alishawai kusema siku nikimuacha atahakikisha ananitoa duniani hata kwa mtt wa bunduki ili mladi asinione wala kunisikia duniani.niende wapi mwenzenu kwani yy mwenyewe ndo alishindwa makubaliano 2liyowai kuwekeana na aliniapia kuwa atajirekebisha lakini alishindwa.mungu wangu upo wapi uniokoe...

Kwanza sijui kama wee ni mwanamke au ni mwanamume. Lakini vyovyote iwavyo wewe ni mwoga kupindukia. Hivi mtu anakupiga mkwara wa kitoto namna hiyo unaanza kujiharishia? Ooh sorry sikuwa na maana mbaya. Kwa hiyo mtu akifahamu majina yako matatu ndo inakuwaje? We ungemjibu tu aende popote kukufanyizia hata usiku huo huo akiweza.
 
Jiamini, sali kama una hofu atakudhuru mripoti kwa Mungu na Polisi
 
Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka huu.chakushangaza ama chakutisha X huyu amenipigia cm usiku huu nakuniambia maneno makari sana kiasi kwamba nimekosa adi amani.kanipigia cm kupitia number ngeni na nilipopokea kaniambia kuwa.Umenipotezea mda sana nanilikuwa nafikiria nikufanyanye ila baada yakujua chakukufanya nimeona leo nikwambie.akasema kuwa Nitakufanya kitu kibaya sana akasema labda sio yy anaetokea Usukumani.kiukweli kanitisha sana na mwisho akamalizia labda ningekuwa sifahamu majina yako yote matatu lakini yote nayajua lazima nikukomeshe.mpaka sasa sielewi atanifanyaje maana kasema ww siunajifanya unamjua sana yesu.mwenzenu nifanyaje maana alishawai kusema siku nikimuacha atahakikisha ananitoa duniani hata kwa mtt wa bunduki ili mladi asinione wala kunisikia duniani.niende wapi mwenzenu kwani yy mwenyewe ndo alishindwa makubaliano 2liyowai kuwekeana na aliniapia kuwa atajirekebisha lakini alishindwa.mungu wangu upo wapi uniokoe...

E.l.ve,wakati mwingine hayo ni maneno tu ya vitisho toka kwa huyo X kutaka kukurudisha kwake kwa nguvu, unaweza kutendea kazi ushauri wa gfsonwin na pia ukamripoti kwa vyombo vya usalama na kisha umwambie wazi kuwa umemripoti kwa vyombo vya usalama na ndugu zako na zake pia ili chochote kitakachokupata wewe, yeye awajibishwe kisheria. Akijua hilo hawezi kukudhuru kwa lolote maana sheria itamtafuna!
 
Tatizo lenu ni moja,mnayakologa then yakiwashinda ndo mnakimbilia kuomba ushauli,ni vyema tunge msikia na yeye ilituwweze kujua unayo ya sema ni kweli ua la ndo upate ushauli juu ya jambo lako.

Ndugu yangu sijawai kulikoroga hata 1day.nilishawai kuja humu kuomba ushauri jinsi anavyonifanyia.kiukweli ushauri nilioupata humu na kwa watu wangu wengine wakaribu ambao nao wanamfahamu niliufanyia kazi.sema 2 wanaume wengine ving'ang'anizi.anataka kuforce penzi.
 
Usiogope..Mungu yuko na wewe ..zidisha maombi
 
Back
Top Bottom