kwa ushauri wangu tu usifate sana watu wanasema nini, wewe nadhani mpaka umemaliza hiyo degree ya kwanza nadhani ni mtu mzima unajitambua ni nini unataka....
kwani hata wakati unaanza unasoma degree ya kwanza ulikuja kutuomba ushauri humu???????? ππππππππππ