Tandam4
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 379
- 824
Wakuu,jana nilileta uzi kuwa maharage yanakaukia shambani,nimetafakari sana nikaona suluhu ni either kuchimba kisima though very expensive kwa huku manyara ama kuchota maji kwa bozer sina hakika na gharama zake.
Sasa wataalam wa haya mambo nishaurini ipi kati ya hizi ni less expensive niokoe maharagwe yangu eka 40?nafwaaaa!!hapa nilipo nakula viroba tuu nijifariji
Sasa wataalam wa haya mambo nishaurini ipi kati ya hizi ni less expensive niokoe maharagwe yangu eka 40?nafwaaaa!!hapa nilipo nakula viroba tuu nijifariji