miaka 40 na bado hajielewi ni shiiidaTatizo haujielewi licha ya umri kukutupa mkono wewe sio kijana tena huo umri wako unatosh kusimamia mambo yako
ngoja niishie hapa tu
bila shaka wewe ni me, na unataka kumpa mzigo wa maana!!!!!!!! najiuliza tu ni mzigo ganiTupa kule kijana.......njoo hku nikupe mzigo wa maana...
bila shaka wewe ni me, na unataka kumpa mzigo wa maana!!!!!!!! najiuliza tu ni mzigo gani
Habarini mimi ni kijana nina miaka arobaini, nilikuwa na mwanamke nikazaa nae watoto wawili tukaachana kwa sababu za kutoelewana na mimi na ndugu majirani, kiufupi ni mwanamke mgomvi sana hawezi ishi na ndugu jamaa au marafiki, alishakalishwa sana na hakujirekebisha.
Sikua na ndoa nae na tangia tumeachana ni miaka mitatu. Nashangaa kila baada ya muda namkumbuka na kutaka kurudiana nae wakati huohuo ndugu hawataki hata kumsikia kwa sababu ya tabia zake za kutoweza jirekebisha.
Naombeni ushauri nifanyeje nimsahau kabisa ili niweze tafuta mwingine.
Na huyo mwanamke wala nilikuwa simpendi kiivyo ni ujana tu ulinisukuma ila sikuwa na mapenzi nae sana.
Ushauri tafadhali.