Naombeni ushauri tafadhari

UMenisononesha sana ndugu. Usije kumtenda vibaya uyo anayekupenda kwa dhati.
Pia mwenye akili timamu hawezi kurudia matapishi.Kuna wakati tunatakiwa tukutane na mabaya ili tunapopata mazuri tujue thamani yake.

Aiseeeee
Nimeumia sana moyoni

Nawaza kuna mtu ambae hana hatia ataumizwa muda c mrefu
 

jaribu kumsahau kabsa yaani ridhika na uliye naye
 
muoe huyo mwenye ujauzito kwakweli mungu anakuona ukimsaliti huyo ntaumia sana
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu nimeamua kuendelea na huyu mwenye mimba yangu
 
ili nalo limsaulika ktk katiba mpya.nenda kawe mwakilishi.
 
itakua unataka umuajiri kabisa mana kumsomesha umeona haitoshi... loh wanaume hawa, yani una diamond ndani lakin unaiwazia chupa ilyotengenezwa kwa mfano wa diamond nje.... khaa
 
Wewe hata hujui unataka nini maskini!!
Namhurumia huyo mwenye mimba yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…