Toka hapo njia panda uende round about.Habarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa mtoto wangu.
Kinachonifanya niombe ushauri ni hali iliyopo sasa.
Mwaka jana mwezi wa 6 mwenzi wangu alikuja kutoa mahari kwetu na kunivalisha pete ya uchumba wakati huo nilikuwa na mimba ya miezi 5.
Upande wa kiume wakaahidi tufunge ndoa mwezi wa 12 lakini ikaonekana kama Mungu akijalia nitajifungua salama basi mtoto atakuwa mdogo sana basi wakasogeza mpaka mwezi wa 4 mwaka huu na wakasema inabidi nikajifungue kwa mamamkwe na nitakuwa chini ya uangalizi wake .
namshukuru Mungu nilijifungua salama.
Sasa hivi mtoto ana miezi 5 wazazi wangu wanasema nirudi nyumbani sababu sijaolewa mpaka wanikabidhi kwa ndoa kabisa ila mama mkwe anasema nibaki sababu mahari ni ndoa tayari kanisani kubariki tuu mimi ni mke wa mtu. mchumba wangu ananiambia nikiondoka kurudi kwetu niondoke moja kwa moja nisirudi kwake. naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Je ni kweli ukishatolewa mahari unakuwa umeolewa? Na nifanye nini katika hili? Mimi ni mbena na mchumba wangu ni mchaga.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wana JF,

UNGEWAULIZA WATU WALIOPO KWENYE NDOAHabarini wana JF,

ahahhahhahahah daaaah! sio poaToka hapo njia panda uende round about.
Na mm nakazia "UKIONDOKA ONDOKA MOJA KWA MOJA!! "Habarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa mtoto wangu.
Kinachonifanya niombe ushauri ni hali iliyopo sasa.
Mwaka jana mwezi wa 6 mwenzi wangu alikuja kutoa mahari kwetu na kunivalisha pete ya uchumba wakati huo nilikuwa na mimba ya miezi 5.
Upande wa kiume wakaahidi tufunge ndoa mwezi wa 12 lakini ikaonekana kama Mungu akijalia nitajifungua salama basi mtoto atakuwa mdogo sana basi wakasogeza mpaka mwezi wa 4 mwaka huu na wakasema inabidi nikajifungue kwa mamamkwe na nitakuwa chini ya uangalizi wake .
namshukuru Mungu nilijifungua salama.
Sasa hivi mtoto ana miezi 5 wazazi wangu wanasema nirudi nyumbani sababu sijaolewa mpaka wanikabidhi kwa ndoa kabisa ila mama mkwe anasema nibaki sababu mahari ni ndoa tayari kanisani kubariki tuu mimi ni mke wa mtu. mchumba wangu ananiambia nikiondoka kurudi kwetu niondoke moja kwa moja nisirudi kwake. naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Je ni kweli ukishatolewa mahari unakuwa umeolewa? Na nifanye nini katika hili? Mimi ni mbena na mchumba wangu ni mchaga.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya hapo nifanyeje??Toka hapo njia panda uende round about.
wananichanganya sana hizi familia mbili jamaniaisee......ila mi nakushauri ubaki tu manaake ndugu zako hawawezi kukukana ila huyu jamaa anaweza akakupiga chini
Hata mimi imani yangu bado sijawa yaani hata sielewi...nao walisema tunamuazima kwa kipindi ambacho atajifungua awe chini ya mama mkweUkifuata utaratibu wa imani yangu bado hujawa mke na unatakiwa hurudi nyumbani ila kimila wewe ni mke.
Sent using Jamii Forums mobile app