Naombeni ushauri nifanyeje

Lala salama, nashukuru kwa hata hicho kidogo ulichochangia
 
Kaka nikwamba mapenzi hayana kanuni kwamba utatumia pai,no wala hayana mwalimu ,bali kuna washauri kibao ,chamsingi kama humpendi kutokana na alicho kifanya tafuta kitukitakacho kufaya uwe busy ili umsahau ikiwezekana tafuta mwingine.,.
 
True love never dies........ Bongooo????
Acha uzoba kijana,
 
ungekuwa karibu ningekuwasha makofi matano ya chapchap
 

hivi una habari kama wanawake wanafikia billion 3 duniani kote? kwa haki ili wengine waolewe inabidi uwe na wanawake wanne.
 
Tafuta mpya utamsahau wazalishe wengine afu urudie utakua -----
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…