Naombeni ushauri ndugu zangu

Poor thing muwage mnajiongeza dem unamuomba cku hyo hyo anakupa ujiongez... Cku ya kwanza na matatzo juu hyo ndo shda ya kuanza mapenz ukubwan
 
Dah uyo mwanamke ana roho ngumu sana, usikute Ana ukimwi kweli anatafuta wa kufa nae, hata usikubali kuendelea nae mungu kakuepusha na mkosi, so ni vyema kuwa makini ktk maamuz yako,
 
una muonyesha mwanamke upole sana dogo...usitabirike
 
Yawezekana kweli kathirika ila anapata hasira y hajakuambukiza na kama unataka kufa mapema mrudie au kama unampenda bado mpeleke mkapime wote, hiyo dawa ilyokua kwenye poch ilikua dawa ya nn yawezekana ARV na kwa nn akikunyanganya pochi kama ni dawa njema, unapaswa badilika usimwamin MTU lazima mpime au kutumia kinga, ingia tena mkenge uone tripu hii kama hajajitahid kukuachia virus kwa namna yeyote
 
mkuu kuwashwa makalio so dalili ya minyoo au amiba

anyway nashindwa kuju kwa nini unataka mrudie huyo Dada, au labda hujawahi jihusisha na mambo hayo kwa muda mrefu though unaona utakosa raha pamoja na utamkosa huyo Dada, yani hizo dalili tuuu inabidi ufunge papuchi yakoo, endelea sijui kuuza matunda
 
Aise kuna watu mnacheza na uhai eeh... yaani mtu kakuambia kabsa ni Muathirika still unakuja kuomba ushauri jf.. loooh..!! Achana na huyo KE badili kabsa na namba ya simu asikupate hewani milele pia hakikisha usijue tena gheto kwako kama hapo unapoishi sasa hv anapafahamu... Sepa kabsa find shm nyingine... acha kuchezea maisha ww... kapime tena kwa mara ya pili.. zen jipange, Muombe Mungu atakusaidia kupata Mtu mwenye Mapenzi ya dhati nawe... next time acha kufanya mapenzi bila ndom ww veeepe... hakna kuaminiana kihvo sasa hv kaka... hali ni tete...!!!
 



Wewe kwelii BOGASI umeponea chupuchupi bado unataka kuridi.
 
Futa namba yake kichwani na kwenye simu yako maana atakudhuru
 
Wanaume Wa mikoani mambo madogo kama haya pia mnahitaji ushauri na jibu lake lipo wazi kabisa.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huyo anakuja kukumalizia, shauri yako
 
Nmekusoma
 
Subiri kwanza nikutafutie ushauri humu kabatini ,maana naona ushauri wangu umeisha ,ila wakati ynasubiri mwambie aje ghetto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…