apige hio kazi yenye hela nzuri,vijana wa kitanzania sasa inabidi tuchange haya masuala ya job security tuache apige as much hela as posible na kama analipwa vizuri na hizo benefit zote that means kazi ni nzuri na anapata experience hata kama mkataba ukiisha still atakuja kupata kazi ingine wala sio isue tatizo la kazi hapa tz sio kwa wenye experience ni kwa fresh graduate ndio wanateseka. mwambie apige hela probably baadae kama ameingiza hela ya kutosha hata baada ya mkataba anaweza acha masuala ya kuajiliwa akajiajiri mwenyewe