NAOMBENI USHAURI NDUGU WANA JF

Shy1

New Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
2
Reaction score
0
HABARI YA SASAHIVI NDUGU ZANGU POLENI NA KAZI
NAOMBENI USHAURI

Mama mdogo wangu kabisa kaolewa kwenye ukoo flan( ) sasa kwenye huo ukoo huyo mwanaume aliye muoa mamdogo ,,ukoo wao kwao ni wengi ,baba ake wa upande wa pili ukoo huo huo ,nae amezaa watoto ,,sasa moja ya mtoto wa kiume ambae ni ndugu na yule aliye muoa mama mdogo nae amezaa watoto wakike,,Basi mtoto wake wa kike Nina mahusiano nae kimapenzi mpaka sasa ni mwaka wa tatu,,na ananipenda sana kifupi tunapendana ,,je huyu naweza kumuoa jamani? Au niachane nae kabisa kwa sababu naona kama ni ndugu ,,,nitashukuru kwa USHAURI wenu🤝🏽🤝🏽🤝🏽
 
Ww pambana na hali yako na yeye mama mdgo muache akajitafunie utamu tulioridhishwa
 
huo undugu wa mbali sana kuliko hata umbali wa jua
 
Oa tu mkuu hapo hakuna shida kwanza sisi binadamu sote ni ndugu watoto wa baba mmoja(Adam)
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…