le profesio
Senior Member
- Jul 21, 2013
- 116
- 16
Habari wana MMU,
Kwanza napenda kuwapa pongezi members wa hili jukwaa ambao mmekuwa mkitoa mchango wa Mawazo katika mijadala mbali mbali ambayo imekuwa inaletwa mbele yenu! Kwa namna moja au nyingine imekuwa ikitusaidia sana, hususan kwenye swala zima la mapenz ambalo linaumiza akil na mioyo ya wengi wetu!
Mimi nina swala moja ambalo limekuwa likinisumbua, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambae tumasoma nae hapa chuo, Ud. Ni binti ambae amesimama kiroho, anamisimamo yake ya kimaisha ikiwamo kumtanguliza mungu katika kila kitu!
Ni takriban mwaka mmoja sasa tangu nimeanza mazoea nae na kujaribu kujenga urafik lakin tatizo ni kwamba huwa harespond mesege, hapend kuchat, hata muda wa maongez na watu wengine huwa hana.,
Mara zote yupo bize na mambo yake, in shotly hapend mazoea na mtu yeyote! Nmejaribu kutumia kila njia na bidii ili kujenga hata mazoea nae imeshindikana!
Wadau ,naombeni ushauri wenu kwa wale wenye uzoefu na watu wa aina hii,
Nampenda sana na napenda aje kuwa mke wangu wa ndoa,
Nb. Mimi pia nampenda mungu...,
Hekima na busara itawaleee
Asanten,
jaribu kumwambia una maongezi nae.......
unahitaji sehem ya musa wake mkae mzungumze
Kama kweli unampenda kweli inabidi na wewe uwe na msimamo na usimame kiroho kama yeye ili mfanane ila kwasasa inabidi umwombe kiheshima n seriously kuongea naye,jaribu hata kumtuma mtu unayemwamini.Ila nakushauri usimchezee tu na kumwacha utaweza kupata laana yake mkuu,panga naye khs ndoa kbs.
kama hekima na busara unataka itawale wewe ungeanza kumuomba Mungu akusaidie kupata mke maadam upo hapa u will get ur spoils
mke mwema mtu hupewa na Mungu na sio JF! invest in prayers. muda huu unaouliza hapa jf ungekuwa unaomba ili upate mke mwema. labda umeshindwa tu kusema unataka utembee naye then usepe maana kama sio hivyo usingeongelea misimamo ya huyo binti ungejua tu hiyo ndo imani yake! spoils I dint mean kuchafua rather a reward or share!!We wasema! Alaf labda uanze wewe ku-spoils...mkuu
mke mwema mtu hupewa na Mungu na sio JF! invest in prayers. muda huu unaouliza hapa jf ungekuwa unaomba ili upate mke mwema. labda umeshindwa tu kusema unataka utembee naye then usepe maana kama sio hivyo usingeongelea misimamo ya huyo binti ungejua tu hiyo ndo imani yake! spoils I dint mean kuchafua rather a reward or share!!
unachapwa naohadi chuo kikuu hujui kutongoza ? Jichagulie tusi
hadi chuo kikuu hujui kutongoza ? Jichagulie tusi
Mlokole waachie walokole wenzake waje wafaidi umeona faida ya kuokoka eeeeh!
Mkuu swala la kuokoka sio swala la kuokoka il upate mke,then hata mimi ni muumini na pia nimesimama kwa mungu!Mlokole waachie walokole wenzake waje wafaidi umeona faida ya kuokoka eeeeh!
Ni kweli, huwa namwomba mungu kwa hilo, ila ni kama vile naelekea kukata tamaa,coz of litle responce of my effort
faida iko wapi hapo!!!!!!!!!!!!!
The same case happened to me thats y nakupa moyo,inawezekn kwa sasa nayeye anaendelea kukusoma nawewe upoje au anakupima kama unamaanisha au la,Usichoke wala kukata tamaa,mtumie mtu.
faida ni msichana kutunzwa na mungu mpaka jamaa amelitambua hilo