Mapenzi yanazinguaga sana.
Mkuu kama anakupelekesha ukiachana nae alafu useme umsahau utajidanganya Brain yako itachukua mda sana mumsahau maana ishazoea kama utamudu basi jua kuwa utapitia lots of pain, na unaweza shindwa hata kufanya mambo yako kiufasaha hadi ubongo utapozoea.
Kama saivi mmeachana jaribu kumbembeleza mrudiane then anza kupunguza mawasiliano nae
.kama ulikuwa unamtumia messages 10 kwa siku mtumie 5 au 7 siku zinavyozidi kwenda unapunguza dose
.kama ulikuwa unampigia simu Mara 5 mpigie Mara2
Jiweke busy na mambo yako mda unavyozidi kwenda utajikuta ubongo unamsahau na utaweza kumudu kuachana nae.