Joshie Praiser
Member
- Apr 16, 2019
- 28
- 25
Wajukuu wa supuika hawa.Twende nao hivyo hivyo kwa umakini.Wasije wakawa wamerithi tabia za matumizi holela ya magongo akatulaza chini.Haka kajinga ni kadhaifu.
Ingawa hii ni chai lakini haka kajinga ni kadhaifu.
Umeingiaje kwanza jukwaa la wakubwa kwa nn unaharakia mambo.Mambo zenu, jamani mi naombeni ushauri.
Mimi ni kijana wa miaka 18 nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 nasubiri post tu.
Kuna rafiki wa mdogo wangu alikuja hapa nyumbani akaniomba awe anakuja nyumbani hapa niwe namfundisha fundisha na mimi bila hiyana nikamkubalia.
Sasa huyu mdogo akijaga nimfundishe anavaaga khanga tu ndani anavaa nguo ya ndani tu halafu nikiwa namfundisha anajiachia tu.
Yani amekaa katika mstari wa kunitaka kingono kabisa.
Kwa hili mnanishaurije wadau?
Sent using iPhone XS