Kwanza Camera zipo za aina mbili yaani IP na Analog Camera.Tofauti zao ni kwamba Analog ni Plug and play(passive),na bei zake kidogo ni nafuu.IP camera zinahitaji configuration kidogo. Bei za Camera zinatofautiana kutokana na Megapixel(uwezo wa picha),Zinaanzia 2MP mpaka 6MP etc.
Kawaida camera zina Controller yake ambayo kitaalamu inaitwa NVR(IP camera) au DVR(analog camera) ndani ya hiyo contoller kuna Hard disk(HD) ambayo ina uwezo kuhifadhi Recorded kulingana na ukubwa wake.
Vilevile kama una access ya Internet kwenye eneo lako unaweza kuziona Camera zako kupitia Simu.
Brand zinazofanya vizuri ni kama
1.HikVision
2.LongSee
3.Alhua etc.
Ukihitaji kufungiwa na ushauri nitafute kwa Namba hii 0684249465.