Naombeni ushauri kuhusiana na betri ya PC

Naombeni ushauri kuhusiana na betri ya PC

Mr Hancho

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
13
Reaction score
11
Habari,

PC yangu inatatizo la kutokukaa na chaji muda mrefu tangia nilivyo inunua (renewed).

Je, kuna uwezekano wa kurekebisha ili tatizo? Na kama hamna, ni betri gani ninunue ambayo itaweza kukaa na chaji muda mrefu?

Specifications
Hp pavilion 14
Processor: intel(R)core i5 (7th generation)
RAM 4 DDR 4
Render: Invidia Gforce 940MX
 
Je kuna uwezekano wa kurekebisha ili tatizo?
kuna wahindi (niliwaona mitaa ya Kisutu karib na ofisi za channel-10) kule wanabadili cells za ndani ya battery pack na kuweka mpya zenye uwezo(mAh) mkubwa kidogo
 
Habari
Pc yangu inatatizo ya kuto kukaa na chaja mda mrefu tangia nilivyo inunua (renewed). Je kuna uwezekano wa kurekebisha ili tatizo?.Na kama amna, Ni betri gani ninunue ambayo itaweza kukaa na chaja mda mrefu?
Specifications
Hp pavilion 14
Processor :intel(R)core i5 (7th generation)
RAM 4 DDR 4
Render:
Invidia Gforce 940MX
Kuna details za aina ya battery unayotakiwa kuweka kwenye pc yako. Pia usinunue battery used. Nunua mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom