Jinsia yako! Kama ni wakike amekupenda uwe kama ndugu yake wa hiari hakuna jingine. Au inaweza kuwa ni gia ya kuelekea kwenye usagaji.Mimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae tu,jana kaja na nguo na viatu kanigea,kamwambia yule mfanyakazi mwingine awe anasikiiza Mimi,hela ya matumizi naachiwa Mimi,mfanya kazi kaambiwa Mimi nikisema hafai na kazi imeisha, sijaelewa jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia hapo, uolewe taratiibu... Papara zinaharibu mamboMimi katika kutafuta kazi nilibahatika kufanya kazi kwa Dada mmoja hivi,Leo nina siku ya 23 kwanzia nianze,cha ajabu boss wangu kaleta mfanya kazi mwingine na kaniambia Mimi nisifanye kazi nikae tu,jana kaja na nguo na viatu kanigea
Kamwambia yule mfanyakazi mwingine awe anasikiiza Mimi,hela ya matumizi naachiwa Mimi,mfanya kazi kaambiwa Mimi nikisema hafai na kazi imeisha, sijaelewa jamani
Sent using Jamii Forums mobile app