Kitukizuri Member Joined Apr 25, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Apr 27, 2011 #1 Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya?
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,006 Reaction score 1,259 Apr 27, 2011 #2 Binamu nyama ya hamu, ondoka hapa jamvini nenda ukamuwashe halaf utupe feedback
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 Apr 27, 2011 #3 hahahaahahah mhh kuna mambo humu,ulujiwekaje wekaje mpaka akaanza kukutaka ndugu!
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Apr 27, 2011 #4 Kwani lazima ufanye uzinzi? Unaomba ushauri wa kutenda dhambi, fanya mwenyewe kama nafsi yako inakuruhusu. Kwa nini unataka tushiriki na wewe dhambi zako. Beba mwenyewe mizigo yako.
Kwani lazima ufanye uzinzi? Unaomba ushauri wa kutenda dhambi, fanya mwenyewe kama nafsi yako inakuruhusu. Kwa nini unataka tushiriki na wewe dhambi zako. Beba mwenyewe mizigo yako.
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,113 Apr 27, 2011 #5 Kitukizuri said: Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya? Click to expand... Follow your heart..
Kitukizuri said: Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya? Click to expand... Follow your heart..
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Apr 27, 2011 #6 Watoto wamekuwa wengi mno humu inachosha........
Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 3,829 Reaction score 5,270 Apr 27, 2011 #7 Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Dena Amsi said: Watoto wamekuwa wengi mno humu inachosha........ Click to expand...
Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Dena Amsi said: Watoto wamekuwa wengi mno humu inachosha........ Click to expand...
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Apr 27, 2011 #8 Msolo said: Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Click to expand... <br /> <br /> Hakuna thanks wala like kwenye mobile ningekugongea
Msolo said: Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Click to expand... <br /> <br /> Hakuna thanks wala like kwenye mobile ningekugongea
Michelle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,631 Reaction score 3,543 Apr 27, 2011 #9 Kuna ubaya...ni nduguyo huyo....mwambie hutaki...unaheshimu undugu mlio nao...!:eyeroll1:
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Apr 27, 2011 #10 Halafu hawa mabinamu!! hapo akikataliwa anaweza hata baka, mkatalie halafu waambie wakubwa wa family ili akae mbali na wewe
Halafu hawa mabinamu!! hapo akikataliwa anaweza hata baka, mkatalie halafu waambie wakubwa wa family ili akae mbali na wewe
Susy JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,431 Reaction score 221 Apr 28, 2011 #11 Msolo said: Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Click to expand... wamesahau imeandikwa "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Msolo said: Wanaboa sana..! Eti ushauri wa kufanya uzinzi..??! Click to expand... wamesahau imeandikwa "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
sweetdada JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 518 Reaction score 170 Apr 28, 2011 #12 Kitukizuri said: Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya? Click to expand... we unaonaje?
Kitukizuri said: Binamu yangu ananitaka kimapenz.nifanyeje?kuna ubaya? Click to expand... we unaonaje?
Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 Apr 28, 2011 #13 chukua tu huyo binamu halali yako, kiislamu inaruhusiwa. kwa wenzetu nchi za kiaarabu, wengi tu waoa au kuolewa na binamu zao. ila kama mtazaa tegemea madhara ya "consanguinity" mengi tu yaweza kujitokeza kwa watoto
chukua tu huyo binamu halali yako, kiislamu inaruhusiwa. kwa wenzetu nchi za kiaarabu, wengi tu waoa au kuolewa na binamu zao. ila kama mtazaa tegemea madhara ya "consanguinity" mengi tu yaweza kujitokeza kwa watoto