Lastborn03 Member Joined Aug 25, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Jan 16, 2023 #1 Samahani wapendwa naombeni anaelifahamu shirika la plan international anipatie namba zao za simu ya mkononi. Nipo mwanza nahitaji kwenda kufanya field kwenye hilo shirika. ππΎππΎ
Samahani wapendwa naombeni anaelifahamu shirika la plan international anipatie namba zao za simu ya mkononi. Nipo mwanza nahitaji kwenda kufanya field kwenye hilo shirika. ππΎππΎ