Mimi ni kijana Niko najishughulisha na udereva bajaji Moro,bajaji in ya kwangu mwenywe wala haina tajiri hesabu inapatikana 2 mungu anasaidia lakini na changamoto pia zipo kama ilivyo katika kila biashara,
Sasa wakuu nilichokua naomba msaada wa mawazo mana kuna kapesa nimepata nataka kujitanua kibiashara,kununua bajaji nyingine inashndkana mana mm mwenywe naiona hali halisi ya usumbufu kwa madereva wenzangu wenye bajaji za mabosi pia na utunzaji hafifu, kwahyo nikaamua nifikirie kununua Noah lakini nayo nkaambiwa ina changamoto nyingi tena sana,
Sasa kuna Rafiki yangu yupo Dar es sallam kanishauri ninunue gari ndogo aina ya IST na mfano wa hzo niweze kufanyia Uber Dar ,na mm Dar n mwenyeji lakini sio sana kama Moro na huduma ya Uber Moro hakuna ,Wakuu naombeni mwongozo hapo nifanyeje au kuna mwenywe mawazo yoyote anisaidie.
Bajeti yangu ni kama Million 10.
Sent using
Jamii Forums mobile app